Je Elimu inachangia mtu kuongoza nchi vizuri huko Africa ?

Now and then

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
613
Reaction score
1,729
Je Elimu inachangia mtu kuongoza nchi vizuri huko Africa ?

Kuna nchi moja huko Africa imepata rais ana PhD ya uongo n nyingine imepata Rais aliyefeli form four .

Je elimu Ina mchango gani.?
 
Elimu ya mzungu ni kujifunza tamaduni za wazungu ili tuweze kuajirika hata huko kwao ila kwenye uhalasia hmna kitu ...Haina faid zaidi ya kukua.
 
Elimu inasaidia kwa asilimia 4% tu. bali AKILI HASA AKILI YA UONGOZI NDIYO INAYOFAA KWA ASILIMIA 96%
 
Elimu ya mzungu ni kujifunza tamaduni za wazungu ili tuweze kuajirika hata huko kwao ila kwenye uhalasia hmna kitu ...Haina faid zaidi ya kukua.
Kwahiyo yule Rais kilaza wa chama cha njano unamuongeleaje ?
 
Rais form four failure unamaanisha yule anayemiliki chawa?
 
Je Elimu inachangia mtu kuongoza nchi vizuri huko Africa ?

Kuna nchi moja huko Africa imepata rais ana PhD ya uongo n nyingine imepata Rais aliyefeli form four .

Je elimu Ina mchango gani.?
Huku Afrika elimu haina thamani kwa viongozi il uchawi tu ndio una thamani. Njoo na elimu yako kama hujauliwa kwa uchawi.
 
Back
Top Bottom