Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,729
Elimu inasaidia kwa asilimia 4% tu. bali AKILI HASA AKILI YA UONGOZI NDIYO INAYOFAA KWA ASILIMIA 96%Je Elimu inachangia mtu kuongoza nchi vizuri huko Africa ?
Kuna nchi moja huko Africa imepata rais ana PhD ya uongo n nyingine imepata Rais aliyefeli form four .
Je elimu Ina mchango gani.?
Kwahiyo yule Rais kilaza wa chama cha njano unamuongeleaje ?Elimu ya mzungu ni kujifunza tamaduni za wazungu ili tuweze kuajirika hata huko kwao ila kwenye uhalasia hmna kitu ...Haina faid zaidi ya kukua.
Kwahiyo ni sahihi nchi kuongozwa na form four?Elimu inasahidia kwa asilimia 4% tu. bali AKILI HASA AKILI YA UONGOZI NDIYO INAYOFAA KWA ASILIMIA 96%
Hata darasa la 7 hakuna tatizo kitu cha msingi ni AKILIKwahiyo ni sahihi nchi kuongozwa na form four?
Hamna Raisi kilaza ,elimu ya mzungu isitubague haina faidi kwetu.Kwahiyo yule Rais kilaza wa chama cha njano unamuongeleaje ?
Huku Afrika elimu haina thamani kwa viongozi il uchawi tu ndio una thamani. Njoo na elimu yako kama hujauliwa kwa uchawi.Je Elimu inachangia mtu kuongoza nchi vizuri huko Africa ?
Kuna nchi moja huko Africa imepata rais ana PhD ya uongo n nyingine imepata Rais aliyefeli form four .
Je elimu Ina mchango gani.?