Mi nilikua nauliza kwamba wanafunzi wa vyuo vikuu hivi huwa wanameza notice kama wanafunzi wa olevl na a-lvl
hehehehehe..! Mbona makubwa?!..hivi mkuu kwani hakuna usimamizi ndani ya chumba cha mtihani?
na paper fake pia zipo.Usiseme kumeza tu dogo,hata kupigana chabo kwenye paper kupo!