Je elimu ya vyuoni ni ya kumeza notice au kuna kuna kuelewa ndani yake?!

Je elimu ya vyuoni ni ya kumeza notice au kuna kuna kuelewa ndani yake?!

Moyibi

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,054
Reaction score
701
Hivi Elimu ya juu namaanisha Elimu ya Vyuo vikuu ni ile ile ya kumeza Notice kama O-level na A-level..!? Au kuna njia mbadala ya kusoma Kwa sababu najua wanafunzi wengi wa Bongo A.k.a Tanzania wengi wao ni wamezaji notice?
 
Kumeza madesa ka kawaida dogo!
 
Mi nilikua nauliza kwamba wanafunzi wa vyuo vikuu hivi huwa wanameza notice kama wanafunzi wa olevl na a-lvl

Ok nimekuelewa kwa swala la kumeza notice elimu ya juu siwezi nikapinga moja kwa moja ila utameza vingapi? ukiwa na mtindo wa kumeza notice utachemka tu.
 
system ya kumeza ndo elimu yote utameza mpka uchoke tena vyuo wanaopenda sifa kama SUA utakoma,but not give up ndo system kukariri then kuelewa kunafuata
 
ze duduz. Kwa sehemu kubwa elimu ya sasa hapa kwetu si ya kuelewa wala kumeza hizo notes, bali ni ya KUIBUKA NA CHETI (from nowhere) ili mradi kina nembo halali ya chuo/shule husika.
Matokeo ya mtindo huu ni kwamba Tanzania italazimika kutegemea intellectuals kutoka nje ili iweze kushindana ktk globalization. Hiyo ya kumeza iko halfway.
 
Kama unataka kuelewe kasome Medicine, Engineering ( Course zote zenye practical). Ila hizi nyingine ni kumeza kwenda mbele, ukishakuwa na course outline hauhitaji kwenda kwenye kipindi, unakuwa ka unasoma Open University.
 
Usiseme kumeza tu dogo,hata kupigana chabo kwenye paper kupo!
 
Usiseme kumeza tu dogo,hata kupigana chabo kwenye paper kupo!

hehehehehe..! Mbona makubwa?!..hivi mkuu kwani hakuna usimamizi ndani ya chumba cha mtihani?
 
Mkubwa inategemeana na mambo kadhaa,kuna mda wa 'kumeza'pia kuna mda wa 'kutema' ulichokimeza pia kuna wakati wa kukitumia pia..mfano kwenye semina,field disc.nk. Hivyo ukiishia kumeza tu,unaweza kushindwa kutumia ulichokimeza..
 
Dah! Ni hatari yani unaweza usiingie darasani na ukafanya vizuri
 
na kuna kugombania namba kama sekondar yan kugombania nafac ya kwanza na kuingia topten
 
Back
Top Bottom