Je, Elon Musk ananufaika na nini anapo simamia mipango ya kumhamisha binadamu kwenda kuishi sayari nyingine

nodetz

Senior Member
Joined
May 4, 2024
Posts
173
Reaction score
156
Nimekua nikisikia mipango ya NASA na mtu kama bilionea Elon Musk kuwa na mpango wa kuwapereka binadamu katika sayari ya mars.

Sina shaka na hili maana binadamu ameweza kufanya mambo makubwa mno kwa kutumia teknolojia.

Lakini swali linalokuja kichwani mwangu nikua je? Jambo hilo ni muhimu kiasi gani na kwani wao wananufaika na nini kwa kufanya hivyo.

Je ni wana jaribu kusaidia humanity kama wanavyodai nakama jibu ni ndio linaibuka swali jengine je wameona hatari gani hiyo ambayo wanaona inahatalisha uwepo wa binadamu na dunia ? .

Kwa mawazo yangu project kama hizo zinapewa nguvu kubwa kuliko hata za kuwasaidia binadamu kupata chakula cha kutosha au umeme na kuboresha afya za wanadamu na ustawi wa dunia.

Swali la msingi hizo project zina saidia ubinadamu au zinahujumu ubinadamu?
 
Pengine kuna study wanataka zifanyike muda mrefu kama vile rasilimali za kule..hata hapa duniani kuna watu wame risk maisha Yao na kujitoa kwa ajili ya ustawi wa sasa tulionao..lakini sio kwamba eti kwenda mars kuishi na kula bata wakati mazingira yenyewe sio mazuri hakuna maji n.k
 
Nimekua nikisikia mipango ya NASA na mtu kama bilionea Elon Musk kuwa na mpango wa kuwapereka binadamu katika sayari ya mars.

Sina shaka na hili maana binadamu ameweza kufanya mambo makubwa mno kwa kutumia teknolojia.

Lakini swali linalokuja kichwani mwangu nikua je? Jambo hilo ni muhimu kiasi gani na kwani wao wananufaika na nini kwa kufanya hivyo.

Je ni wana jaribu kusaidia humanity kama wanavyodai nakama jibu ni ndio linaibuka swali jengine je wameona hatari gani hiyo ambayo wanaona inahatalisha uwepo wa binadamu na dunia ? .

Kwa mawazo yangu project kama hizo zinapewa nguvu kubwa kuliko hata za kuwasaidia binadamu kupata chakula cha kutosha au umeme na kuboresha afya za wanadamu na ustawi wa dunia.

Swali la msingi hizo project zina saidia ubinadamu au zinahujumu ubinadamu?
Anauza viwanja kule
 
Elon yupo kwenye stage sio tena ya kutafuta fedha bali reputation and legacy.
 
Yeye ndo anawapeleka kule kwani ameweekeza sanaa kwenye space, lakin pia yeye anamilki viwanja Mars. inavyosemeka mungu anapokuja kuangamiza dunia watu waliopo Mars wanaweza kupona ety.😂😂
Tafuta article moja ya BBC kuhusu watu kwenda Mars
 
Seems Anaendeleza tu kile ambacho huwenda kilifanyikaga miaka mingi iliyopita huko nyuma

Waweza kukuta hata Uwepo wetu katika hii Dunia chanzo chake kilikuwa kama hivyo afanyavyo Elon musk huwenda Kuna project ilifanyikaga huko nyuma na viumbe walio na power ku wa kutuzidi ya kumleta binaadamu hapa kwaajili ya majaribio then baada ya waliokuja hapa kuanza kuzaliana ndio idadi ikafika kuwa kubwa kama hivi tulivyo hii Leo Naamini sisi ni crone ya viumbe fulani
 
Hiyo project imeandaliwa na shetani kupingana na kitu kinaitwa rapture.
Unfortunately rupture itatokea kabla ya kukamilisha hiyo project yao
 
Back
Top Bottom