Anauza viwanja kuleNimekua nikisikia mipango ya NASA na mtu kama bilionea Elon Musk kuwa na mpango wa kuwapereka binadamu katika sayari ya mars.
Sina shaka na hili maana binadamu ameweza kufanya mambo makubwa mno kwa kutumia teknolojia.
Lakini swali linalokuja kichwani mwangu nikua je? Jambo hilo ni muhimu kiasi gani na kwani wao wananufaika na nini kwa kufanya hivyo.
Je ni wana jaribu kusaidia humanity kama wanavyodai nakama jibu ni ndio linaibuka swali jengine je wameona hatari gani hiyo ambayo wanaona inahatalisha uwepo wa binadamu na dunia ? .
Kwa mawazo yangu project kama hizo zinapewa nguvu kubwa kuliko hata za kuwasaidia binadamu kupata chakula cha kutosha au umeme na kuboresha afya za wanadamu na ustawi wa dunia.
Swali la msingi hizo project zina saidia ubinadamu au zinahujumu ubinadamu?
Elon yupo kwenye stage sio tena ya kutafuta fedha bali reputation and legacy.Nimekua nikisikia mipango ya NASA na mtu kama bilionea Elon Musk kuwa na mpango wa kuwapereka binadamu katika sayari ya mars.