Je Erythrocyte ni chawa au mwanaharakati?

Je Erythrocyte ni chawa au mwanaharakati?

Naona anajisahaulisha kuwa wa chadema ni nyumbu siyo chawa!
Kuhusu Erythrocyte, huyu manzi ni timu mbowe piga ua galagaza. Sisi tunaomjua vizuri tunalijua hilo kwa undani. Ngoja niishie hapo!
Hata mimi najua Erythrocyte ni chawa promax wa Mbowe, lakini kwenye hili la uchaguzi wa Mwenyekiti ameonesha ukomavu flani hivi wa kutoonesha yupo upande gani waziwazi ingawa tunajua kama ni mpiga kura atampa Mbowe!
 
Erythrocyte ni red blood cell inayohusika na usafirishaji wa oxygen kutoka kwenye lung kwenda kwenye tissue za mwili vilevile inahusika na usafirishaji dioksidi kaboni(carbon dioxide) kutoka kwenye tissue za mwili kwenda kwenye lung

Mr. Erythrocyte unathamani kubwa sana kwa sisi kingdom Animalia,lakin kuna kitu umekosa ambacho ni utashi wa kuamua kusimama upande gani, hiki kitu kinafuta misimamo na itikadi zako zote ulizosimamia, lakini nafasi ya kuadjust makosa uliyofanya bado unayo, kuna kitu tunataka tufahamu uko timu gani timu Mbowe au timu lissu??,usiwe kama Malisa GJ ambaye ametulia kama anapima ukubwa wa mawimbi ya bahari🤝🤝🤝
Nilishasema hivi, Niko Chadema tu
 
Hata mimi najua Erythrocyte ni chawa promax wa Mbowe, lakini kwenye hili la uchaguzi wa Mwenyekiti ameonesha ukomavu flani hivi wa kutoonesha yupo upande gani waziwazi ingawa tunajua kama ni mpiga kura atampa Mbowe!
Sababu za wewe kuniita Chawa ni zipi?
 
Sidhani kama anahitaji posho kama wale wengine😂 Ambao hawafanyi jambo mpaka waahidiwe chochote
Mkuu hii mada sikufanikiwa kuiona, katika kupekua pekua humu jf ndio nimekutana nayo, Sikudhani kama kuna siku nitakuja kujadiliwa kwa kina namna hii!
 
Back
Top Bottom