Je Erythrocyte ni chawa au mwanaharakati?

Naona anajisahaulisha kuwa wa chadema ni nyumbu siyo chawa!
Kuhusu Erythrocyte, huyu manzi ni timu mbowe piga ua galagaza. Sisi tunaomjua vizuri tunalijua hilo kwa undani. Ngoja niishie hapo!
Hata mimi najua Erythrocyte ni chawa promax wa Mbowe, lakini kwenye hili la uchaguzi wa Mwenyekiti ameonesha ukomavu flani hivi wa kutoonesha yupo upande gani waziwazi ingawa tunajua kama ni mpiga kura atampa Mbowe!
 
Nilishasema hivi, Niko Chadema tu
 
Hata mimi najua Erythrocyte ni chawa promax wa Mbowe, lakini kwenye hili la uchaguzi wa Mwenyekiti ameonesha ukomavu flani hivi wa kutoonesha yupo upande gani waziwazi ingawa tunajua kama ni mpiga kura atampa Mbowe!
Sababu za wewe kuniita Chawa ni zipi?
 
Sidhani kama anahitaji posho kama wale wengine😂 Ambao hawafanyi jambo mpaka waahidiwe chochote
Mkuu hii mada sikufanikiwa kuiona, katika kupekua pekua humu jf ndio nimekutana nayo, Sikudhani kama kuna siku nitakuja kujadiliwa kwa kina namna hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…