Emmanuel kamuli
Member
- Jul 4, 2017
- 22
- 4
UmetishaaDiclopar ni mchanganyiko wa paracetamol na diclofenac. Side effects ni pamoja na abdominal pain, diarrhoea, nausea and vomiting, skin rash na tinnitus
tinnitus ndo nini kwa sisi akina bashite.?Diclopar ni mchanganyiko wa paracetamol na diclofenac. Side effects ni pamoja na abdominal pain, diarrhoea, nausea and vomiting, skin rash na tinnitus
Naomba unipe madhara yake endapo nikweliDiclopar ni mchanganyiko wa paracetamol na diclofenac. Side effects ni pamoja na abdominal pain, diarrhoea, nausea and vomiting, skin rash na tinnitus
Unasikia sauti kutoka ndani ya mwili madikionitinnitus ndo nini kwa sisi akina bashite.?
Madhara si ndiyo hayo mummyNaomba unipe madhara yake endapo nikweli
Vp kuhsu mfumo wa fahamu haiathiri?Diclopar ni mchanganyiko wa paracetamol na diclofenac. Side effects ni pamoja na abdominal pain, diarrhoea, nausea and vomiting, skin rash na tinnitus
Na diarrhoea ndo nini?Diclopar ni mchanganyiko wa paracetamol na diclofenac. Side effects ni pamoja na abdominal pain, diarrhoea, nausea and vomiting, skin rash na tinnitus
KuharishaNa diarrhoea ndo nini?
Pain killersVp kuhsu mfumo wa fahamu haiathiri?
ni vizuri kupata ushauri wa daktari kabla hujatumia zinaweza kuleta pia madhara kwenye mfumo wa figo na ni hatari kwa ini kama ukizidisha dose kwa kiasi kidogo tuVp kuhsu mfumo wa fahamu haiathiri?
Ila usimpende zaidi yangu Tafadhali.Nakupenda Sana SKY ECLAT uko punctual mungu akubaliki
Wewe ni father houseIla usimpende zaidi yangu Tafadhali.
Hamna kiongozi namkubali tu anatoa ushauri mzuri mengine nakuachiaIla usimpende zaidi yangu Tafadhali.
Axnt kwa msaadPain killers
ni vizuri kupata ushauri wa daktari kabla hujatumia zinaweza kuleta pia madhara kwenye mfumo wa figo na ni hatari kwa ini kama ukizidisha dose kwa kiasi kidogo tu
Samahan naomba kujua kama we ni daktar, nesi au mphamasiaDiclopar ni mchanganyiko wa paracetamol na diclofenac. Side effects ni pamoja na abdominal pain, diarrhoea, nausea and vomiting, skin rash na tinnitus
Unataka kunipa ajira mkuu? Mimi ni mpaka chapati na maandazi wa KwamtogoleSamahan naomba kujua kama we ni daktar, nesi au mphamasia
Kwanini unapenda sana kusema uongo Dr. wangu?Unataka kunipa ajira mkuu? Mimi ni mpaka chapati na maandazi wa Kwamtogole