Je F.Mbowe anafaa kuwa RAIS?

Hizi akili chakavu ndizo zinazotuweka kwenye list ya nchi maskini zaidi duniani.Kama ili tuendeleee tunahitaji pia watu basi hii ndiyo sababu inayotuangusha.
 
Mbowe ni comedian fulani hivi ambae anaechangamsha majukwaa ya kisiasa. deepdown hata yeye mwenyewe anajua sio presidential material.

Ni ukweli usiopingika kwa sasa anasaidia ku make things moving mpaka hapo watu wenye uwezo wakakapo surface, who knows some wapo humu humu JF, time will tell......
 
Nilikuwa namtangaza kwebye Star TV,Sijaona kama anaupeo mkubwa wa kuongoza nchini kwa jinsi alivyokuwa akilichambua Baraza la Mawazir.Mrema could a better Rais zaidi ya F.Mbowe.

wewe unawemaje?

Mkakati butu kutoka kwa wachovu wa SiSieMu
 
My hatred to nyerere is not personal, remember! I hate him because he killed, intentionally or not many poor souls during his reign, he made Tanzanians educational poor, economical poor, and yet he could laugh and make others laugh with his wit, imagine what kind of a person is he? to me he was simply, evil.
 
wanasema eti baba yake aliuliwa na Nyerere
 
Nilikuwa namtangaza kwebye Star TV,Sijaona kama anaupeo mkubwa wa kuongoza nchini kwa jinsi alivyokuwa akilichambua Baraza la Mawazir.Mrema could a better Rais zaidi ya F.Mbowe.

wewe unawemaje?

I see Msitahiki umeuwasha jiandae kuuzima! Chadema wako wengi sana humu JF.
 
Halafu hii kama nyepesinyepesi vile, Mods mnaonaje ipelekwe kunakohusika?
 
kama nyie wa2 mngekua noma basi mngejua about his freemasonry... huyu jamaa hafai....not to mention his drug dealing..
 
kama nyie wa2 mngekua noma basi mngejua about his freemasonry... huyu jamaa hafai....not to mention his drug dealing..

Bila kusahau mambo yake ya magari ya wizi

kama mnabisha muulizeni lile RANGE ROVER VOGUE nalotembelea kalitoa wapi?
 
kama nyie wa2 mngekua noma basi mngejua about his freemasonry... huyu jamaa hafai....not to mention his drug dealing..

Yaani wewe ujue kwamba Freeman ana deal drugs na Serikali ya CCM isijue na kuchukua ama inajua ila wamekaa kimya ? Kama wamekaa kimyan je watakuwa wanataka nini ? Jamani kama huna la kusema always kaa kimya si lazima kuandika .
 
Hebu edit hii habari yako mtu wa pwani. kama kweli unashindwa kuandika kwa ufasaha tu utawezaje kuanalyse watu jamani? usitupotezee muda
...inaeleweka hata bila ya kuvaa miwani. labda ujafahamu tu...
 
I see Msitahiki umeuwasha jiandae kuuzima! Chadema wako wengi sana humu JF.

Nani alikuambia kuwa chadema wanahangaika na umbea na mambo ya majungu kama haya. Hapa wanasisiemu watajikuta wenyewe tu wakijadili umbea wakati wanachadema wakihakikisha migodi ya madini iliyouzwa na ccm ikirudishwa kwa wananchi.

Ohh, nimekumbuka hii mada imeanzisha ili kuonyesha kuwa hapa JF ni chadema kama baadhi ya watetezi wa mafisadi sisiemu wamekuwa wakipondea hapa --- ukianza na mstahiki, zomba, masatu, mtu wa pwani, pundamilia,--- yaani watetezi wa mafisadi tupu ndio wamejaa hapa. Kisha ukatoa wazo hapa kuwa hii thread ihamishwe ili waanze kupiga makelele kuwa thread yao imehamisha na Mods wamekuchunia hili wazo lako....

Halafu hii kama nyepesinyepesi vile, Mods mnaonaje ipelekwe kunakohusika?

Mods wana akili kuliko ulivyodhani enhee?
 
Yaani wewe ujue kwamba Freeman ana deal drugs na Serikali ya CCM isijue na kuchukua ama inajua ila wamekaa kimya ? Kama wamekaa kimyan je watakuwa wanataka nini ? Jamani kama huna la kusema always kaa kimya si lazima kuandika .

Mitomingi,

Hao watetezi wa mafisadi wa sisiemu utawaweza? umeona mwingine akitoa wazo kuwa Mbowe anafanya biashara ya ufska kwa hiyo hafai kuwa raisi! Katika yote yanayoendelea nchini leo, kuanzia BoT, kiwira,IPTL, richmond, buzwagi, mbuga ya serengeti, ccm wao wameona kuanza ugomvi kwa watu ambao wanafanya ufska nje ya hoteli ya mbowe kama walivyo katika hoteli nyingi tu hapo Tz ikiwemo ile hoteli ya Kikwete kule mbugani.

walianzisha hii thread na kisha wakashauri kuwa ihamishwe ili waanze makelele kama kawaida, lakini wamejikuta wenyewe na wamegundua kuwa haiamishwi kama walivyoshauri sasa basi wamebaki kutoa mawazo ya kidini hapa kama vile raisi wa nchi ni sheikh au padri fulani hapa.

Hongera Mods kwa uamuzi wa busara na kutupatia amani jumamosi hii tulivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…