Mkuu Zomba,
Hakuna anye-question haki yako ya kuandika hapa Jf, isipokuwa tatizo ni hoja zako,
1. Kinachoendelea bungeni ninakielewa mkuu, upinzani huanzisha hoja ambazo baadaye CCM huamua kuzijibu either kwa maneno au kwa vitendo, baada ya mashambulizi ya upinzani yaaani ya kina Slaaa, dhidi ya ufisadi, CCM walijua kuwa kuna mengi yanakuja ndio maana wakaanza kujitayarisha na hata kulishughulikia hili la Richmonduli, ninaomba kukuuliza bila upinzani bungeni CCM wangelishughulikia hili? Ndio maana ya kushinikizwa mkuu, maana sio ni yako ila unalazimishwa na another force, kwa hiyo hapo huna hoja mkuu.
2. Hakukuwa na hoja ya kutolewa Lowassa, isipokuwa aliamua mwenyewe Lowassa, kukimbia ripoti, akiogopa wabunge hasa wa upinzani, iwapo ile ripoti ingejadiliwa pale bungeni, kwa hiyo hiii nayo hata unachosema huelewi ni nini mkuuu!
3. Kuhusu ugonjwa, nafikriri ni very clear kuwa betweeen mimi na wewe nani hasa anaumwa, sihitaji hata kuigusa zaidi hii hoja maaana maneno yetu yanajisema yenyewe nani anaumwa.
Mwanzoni ulipoingia hapa JF nilidhani you are for real, kumbe ndio haya....salaam zao mkuu!
Ahsante Mkuuu!