My hatred to nyerere is not personal, remember! I hate him because he killed, intentionally or not many poor souls during his reign, he made Tanzanians educational poor, economical poor, and yet he could laugh and make others laugh with his wit, imagine what kind of a person is he? to me he was simply, evil.
Nini sababu ya F Mbowe kuvaa mangwanda yenye mifuko mikuwa kama Mgambo wa Savimbi?
U
Kitila Mkumbo, yes ni one of greatest kichwa ndani ya hii forum, with a great future in our bongo's politics, but, it is Freeman, aliyei-elevate Chadema to the national level kuweza kuwapa platform kina Slaa na Zitto, kusikika na kuanzisha hoja zilizoishia kuwashinikiza CCM kumng'oa Lowassa, na wenziwe!
Wewe una chuki binafsi, na karibu tutakuchoka kukusoma, utakuwa unaandika na kujisoma mwenyewe, ndio raha ya JF!
Nini sababu ya F Mbowe kuvaa mangwanda yenye mifuko mikuwa kama Mgambo wa Savimbi?
Zomba umesoma wapi na Watanzania wengine wamesomea wapi akina sisi hadi leo tuko hapa ? Mimi nimesoma enzi za Mwalimu si Mwinyi wala Mkapa .Nasema chuki zako ni mbaya sana .
Tunaomba FREEMAN atuonyeshe lile RANGE ROVER VOGUE kalinunua toka kwa nani na kwa kiasi gani na alilipia kodi kiasi gani?
Maana mwenye gari lake anajua kuwa rgari liliibiwa sasa huyu kweli anafaa kuwa RAIS wetu?
mbona adolf hitler aliiongoza ujerumani na kuwakamua mavi wahayudi waliojiita taifa la mungu?
mbona Idd Amini aliiongoza Uganda na mpaka sasa Uganda ina uchumi mzuri kuliko Tz ya Nyerere mwenye akili timamu?
mbona bush na ulevi wake anaiogoza US na anakuja hapa tunampayukia?
machiz ndio viongozi wazuri bwana. sio akina nyerere waliongoza lakini wakatuachia umaskini na viongozi vichaa?
tunaitaji sura mpya.
biashara yake inamwingizia fedha za kuweza kuhimili mikikimikiki ya uchaguzi.
mnafikiri akiifunga ile bilkanas umalaya utaisha bongo? yeye ni mmiliki na sio mwendeshaji. mbona hamuongelei biashara zake nyingine?
koma koma komeni na muikome chadema yate vijana wa kizazi kipya.
ijadili CCM inayowaingiza malaya bungeni viti maalumu kwa kupokea uroda.
Kama hiyo ni kweli, hafai hata kukaribishwa Ikulu wacha kuwa Rais, kwani ikulu ni mahali "patakatifu" according to nyerere.
Ukweli ni kwamba inasikitisha sana wanapoandika the shallows hapa JF, na kujaribu kuvihusisha vyama vya siasa nchini behind their low IQs,
Freeman, kama anaweza au hawezi kuwa rais sijui, ila one interview kwenye TV tena ya bongo, sidhani kama ndio inaweza kuwa the litimus test ya urais wetu bongo,
Kitila Mkumbo, yes ni one of greatest kichwa ndani ya hii forum, with a great future in our bongo's politics, but, it is Freeman, aliyei-elevate Chadema to the national level kuweza kuwapa platform kina Slaa na Zitto, kusikika na kuanzisha hoja zilizoishia kuwashinikiza CCM kumng'oa Lowassa, na wenziwe!
Mkuu wangu Mtu Wa Pwani, be careful na the low minds maana wewe ni mtu makini.
Mjomba hii issue haina KAM ni KWELI
range rover vogue analoendesha FREEMAN ni la wizi liliibiwa LONDON na likasafirishwa kupitia HOLLAND dereva alilipwa paundi £2000 toka London...FREEMAN alisema kuwa mambo ya INTERPOL kule Bongo atayasort out
sasa leo hii anata kuwa RAIS...the man is a HUSTLER kama DIALLO na sidhani kama Politics ni mahala pake na kila ninapomsikia anazungumzia mambo ya UFISADI NAJIULIZA hivi ni FREEMAN huyu huyu anayejihusisha na ma criminals wa London au mwingine?
Sasa najua kama JJ MNYIKA atakuja ...na mshauri JJ ambwambie FREEMAN amlipie hiyo shule pale London school of distinction badala ya kuja kubishana humu
BRAZAMENI
Jamani ndo maana napenda JF!
Brazameni- je una ushahidi wa haya unayoongea?
Yasije yakawa ni majungu!
Maadili, disko inakubalikika. na ufuska Jee? au hujaona wanavyojiuza pale mbowe? na yeye anashadidia? angekuwa anajali maadili angefanya biashara isiyoweza kutolewa kasoro. Lakini, lisikutishe hilo, biashara ile kairithi kutoka kwa baba yake!
Mugo"The Great";143131 said:Lete Vigezo vya Rais bora, then from there tutaweza kumpima Mbowe. Siku zote evaluation hufanyika baada ya ku-set Criteria na indicators, otherwise argument zitakuwa hazi-hold water.