Hii habari ya brazameni naona wanaomtetea Mbowe wanashindwa kuijibu. Kwa nini? au hawaamini kuwa inawezekana kuwa hii gari ni ya wizi kweli? na inawezekana pia kuwa ushuru haijalipiwa au imelipiwa ki-mizengwe?
Tunaomba watu wa Interpol na TRA mnaopitia humu mumsafishe jina kiongozi wetu huyu wa CHADEMA au tunaomba Mbowe mwenyewe uliweke wazi hili, kwani nasikiya wewe mwenyewe ni mwana JF mzuri. Mimi nawapelekea hii post Interpol na TRA kwenye tovuti zao, kama watajibu haya kama hawajibu haya.
Nilikuwa namtangaza kwebye Star TV,Sijaona kama anaupeo mkubwa wa kuongoza nchini kwa jinsi alivyokuwa akilichambua Baraza la Mawazir.Mrema could a better Rais zaidi ya F.Mbowe.
wewe unawemaje?
NO RESEARCH NO RIGHT TO TALK.naomba ututhibitishie kuwa hilo gari lake ni la wizi.
Upo twisted na nimekuza mambo kivipi?I have been through that kinda shit man!Sijui kuhusu Mbowe..lakini nadhani ameshakutana na hilo!NI WAZI...NIMESHAPATA SHIDA SANA KWASABABU TU YA UCHAGGA!Na hiyo inpain kwasana..NAPINGA UBAGUZI KWA NGUVU ZANGU ZOTE!GAIDI ZOMBE ALIKUWA MBAGUZI!MAHITA MWENYEWE..NI BAADA YA KUKAA KILIMANJARO KIDOGO NA KUGUNDUA KUWA NI STEREOTYPE TU ZA UKANDAMIZAJI LAKINI CHAGGA PEOPLE NI WAKARIMU KAMA WATANZANIA WENGINE!Ila aliletwa makusudi kwakuwa ni anti-chagga.NARUDIA TENA..MAENDELEO YA TANZANIA YATALETWA NA WATANZANIA WENYEWE KAMA TUKIONDOA TOFAUTI ZETU NA KUJENGA TAIFA IMARA LENYE NGUVU!Kuacha siasa za uswahili na kuanza siasa za vitendo!Kuwapima viongozi kama wamewafanyia nini wananchi kabla hawajapata uongozi na si kusubiri wapate uongozi then kutueleza kuwa watatufanyia nini!Mbowe amewaletea wananchi maendeleo popote pale alipoweza..ubunifu na uzalendo..na kufanya kazi bila kujali utapata nini!A TRUE NON STARVING POLITICIAN..WHO WAS BORN A POLITICIAN!OTHERWISE ANGEWEZA KUENDELEA KUPONDA MALI TU..KWANI UNAFIKIRI ANATAKA UONGOZI KWASABABU UA NJAA?Other people talking about SUV?..huo mtazamo [wa jmushi] uko twisted kidogo!amekuza mambo!
Hafai kuwa Rais huyu.
Hana exposure wala elimu ya kutosha kuongoza vichwa vya Kitanzania. Ni mtu anayeigiza vizuri sana kwamba ana uchungu na nchi yake lakini kwa dhati kabisa amekaa kibiashara zaidi kuliko kujitoa kutumikia Taifa.
Angalau kijana wake Zitto anaonekana ni mtu mwenye uelewa na ufahamu wa mambo, nadhani hata kauenyekiti angemwachia jamaa.
Labda tumpe udiwani
Bin Maryam:
Mawazo mazruri lakini hivi kweli ... "AZIMIO LA ARUSHA"..., Is this thing still valid? To the extent ya kumfanya Mtazania yeyote akose sifa ya kugombea uongozi?
Bin Maryam:
Mawazo mazruri lakini hivi kweli ... "AZIMIO LA ARUSHA"..., Is this thing still valid? To the extent ya kumfanya Mtazania yeyote akose sifa ya kugombea uongozi?
Azimio Jipya:
"you have to go to war with the Army you have, not the Army you want" Donald Rumsfeld's Doctrine.
Siasa ni kushiriki. Kama hatushiriki kwenye siasa itakuwa ni vigumu kuwapata tuwapendao.
Watanzania tunazo-criteria tayari za nani awe rais. Lakin hao malaika tuwatakao hawapo katika safu za siasa. Hivyo mtu achaguliwe kwa sababu angalau anaweza kufanyia kazi kitu fulani. Na wakati mwingine mtu mpya achaguliwe hili kuwapa mafunzo waliomtangulia.
Kwa mfano 1995 Mrema angechaguliwa sio kwa sababu atafanya kazi vizuri kuliko CCM, bali kuwapa shule CCM kwamba wasipofanya vizuri tutampa nafasi mwingine.
Mbowe anafaa kuwa rais hata kama elimu yake ni ya mwembeni
wanasema eti baba yake aliuliwa na Nyerere
Walijaribu kiaina..umesahau mzee mwinyi alipofanya mambo nje ya katiba na kuanzisha cheo cha naibu waziri mkuu ili kumpa Mrema cheo ambacho hakikuwa kinatambuliwa kikatiba!Ile ilikuwa feki tu..Mrema mwenyewe anaelewa hilo!CCM wanasema CHADEMA ni chama cha kichagga?hio si ndo stereotype yenyewe ya kuwapotosha wananchi?Hao wachaga wameikosea nini nchi yao? kwa nini wachukiwe hivyo?
Maana katika uongozi wa nchi wameishia level ya uwaziri, hakuna PM wala Prezidaa.
Nauliza kwa nini hatuwapendi??
Mkuu Pundamilia07,
Katika academic world, tunaposema kiongozi mmoja hafai, huwa ni lazima tuwataje wanaofaaa na sababu, kwa hiyo in this case nilitegemea ueleze jinsi Mwinyi, Mkapa, na Kikwete, wanavyoafaa kuliko Freeman, meaning skills walizonazo ambazo ziliwafanya watufanyie taifa letu mambo mazito na mazuri sana, ambayo Freeman hawezi,
Mwalimu, hawezi kuingizwa hapo maana he is too much.
Ahsante Mkuu.
Kuna kitu sikielewi.
Ni kweli kuwa Mbowe gari lake ni la uwizi? Je huyo aliyetajwa ni kweli alilipwa hizo hela kupeleka gari Holland?
Mnaosema Mbowe ana faa. Anafaa kwa vigezo vipi?
Mnaosema hafai, mmetoa personal life yake kama hiyo ya gari n.k. Ila sijaona point yoyote ya MAANA mnayotumia kusema hafai.
By the way WHY NOW?. Hakuna uchaguzi kwa sasa. Tunzeni mawe yenu yaje kutusaidia 2010.
CCM Hoyeeeeeeeee!