Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

Je, faida kiasi gani nitapata kila mwezi?

Hiyo ni interest mzee , Ni riba , Ni haramu
Allah akujalie biashara halali yenye kukuingizia kipato halali
riba ni nini hakuna biashara isiyo na riba,ko hata ukinunua kitu kw Mia 500 na ukauza 700 ,hiyo 200 ya faida ni sawa na riba tu,Kama unataka uhalali labda uuze mia500 hiyohiyo,ko Cha msingi ni kufanya Jambo ambalo halimzulu mwingine

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Biashara zipo mkuu ,mfano mwaka huu mwezi wa 6 nimeshuhudia huko ifakara mpunga wa shambani umetoma kwa laki moja kwa gunia, nilikuwa kwenye project pale tulimaliza project mwezi wa huu wa nane mwanzoni gunia la mpunga likiwa limefikia 130k, sasa kama kuna mtu alinunua mpunga kwa laki moja mwezi wa 6, kama alinunua gunia 100, inamaan katengeneza 3000000 kwa miezi miwili tu., na
Hii kazi inataka umaskini sana na uwe unamtu mjuzi wa mpunga sivyo utanunua mpunga wa chenga
 
Mimi hapo nafuga kuku wa mayai 4000, watanipa uhakika wa million 6 kwa mwezi
 
Wanajamvi habari,nilikuwa nataka kuweka pesa yangu kiasi cha shilingi milion60 kwenye fixed account nmb,kwa miaka miwili, je nitapata faida kiasi gani kila mwezi, kwa wazoefu naomba mnisaidie
Hiyo usipeleke benki watakwibia na kama hujui kufanya biashara ni mara kumi uweke Utt utapata japo laki 5 au 6 hivi ya uhakika kila mwezi
 
Pole sana mkuu.

Kutokua na mtaji ni tatizo ila kua na mtaji na hujui ufanyie nini ni tatizo kubwa zaidi.

Ni ngumu sana kuamua, unaogopa utapoteza pesa yako...

Basi weka fixed nusu halafu nusu inayobaki fanyia biashara utayoona inakufaa, kama hujui ufanye biashara gani hizo pesa bora ulie bata tu maana mwisho wa siku utafany biashara kwa akili za watu wa jf na sio zako.
 
Umezidi kumvuruga
 
Unalenga kiwanja cha milion 10 ama 15 uswahilini mjini mjini kama ubungo, tabata ama yombo vituka. Uswazi watu wana njaa wanakukatia kiwanja ukiwa na cash, sio kikubwaa kidogo tu chini ya sqm 200.

Kisha unajenga rum master tu kama 7. Kwa milioni isiyozidi 30.

Kodi kwa mwezi unakunja zaidi ya laki 7.

Hapo umewekeza milioni 45. Makadirio ya juu
Mkuu unajua gharama za ujenzi hadi ujenge rum7 tena master kwa 30M?
 
Mkuu unajua gharama za ujenzi hadi ujenge rum7 tena master kwa 30M?

Niambie kwa nini milioni 30 isitoshe vyumba 7 master.. ambapo ukigawanya wastani ni 4.2m ya kila chumba kimoja

Mimi ninafanya biashara ya vyumba za kupangisha. Naongea kwa experience. Kama unabisha tafuta muda utembelee miradi yangu.

Tambua Nyumba ya kupangisha ama vyumba vya kupangishwa huwa vinajengwa kwa kutumia pesa pamoja na akili.

Ni sawa na kununua kiwanja kwa ajili ya kupangisha huwa hatuangalii ukubwa wa kiwanja mfano mwaka huu binafsi nimenunua sqm 140 kwa shilingi milion 12 ubungo makuburi. Na nilikataa kiwanja cha sqm 1200 kwa kwa milioni 10 kigamboni gezaulole .

Chumba kimoja master milioni 4 isitoshe?
 
weka tu fixed mkuu sema unakula 3,600,000 kwa mwaka
 
Leta mchanganuo wa materials:-
tofali, mchanga, cement, nondo, fundi, mbao, bati, gril, alminium windows, wiring, tiles, gypsum, milango
 
Leta mchanganuo wa materials:-
tofali, mchanga, cement, nondo, fundi, mbao, bati, gril, alminium windows, wiring, tiles, gypsum, milango

Hiyo ni consultancy inayolipiwa hela.. huwez muambia mtu akuambie tu bure bure tu, wewe unaebisha ubishe kwa facts zako. Mi nimekwambia inatosha.
 
Hiyo ni consultancy inayolipiwa hela.. huwez muambia mtu akuambie tu bure bure tu, wewe unaebisha ubishe kwa facts zako. Mi nimekwambia inatosha.
Sijakuambia kwakua nataka kujenga NOO!! Nataka u-justify kama 4M inajenga chumba master 😅😅😅
 
Back
Top Bottom