Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?

Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?

Aunt Lisa

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
72
Reaction score
25
Hello wanaJamiiforums.

Najua wengi wetu tumeanza mapenzi toka tukiwa na umri wa kubalehe.

Je paka leo katika maisha yako ya mapenzi, fantasy zako ni zipi?

Je umekwisha itimiza hizoo fantasy? na kama bado

Je utakuja ku zitimiza siku za usoni?

Wengine fantasy zao ni kudate makabila tofauti, raia wa rangi tofauti.

Wewe je?

Tufunguke

1619615163674.png

Hello WanaJf,
Najua Wengii Wetu Tumeanza Mapenzi Toka Tukiwa Na Umri Wa Kubalehe..
Je Paka Leo Katika Maisha Yakoo Ya Mapenzi, Fantasy Zakoo Ni Ipi?
Je Umekwisha Itimiza Hizoo Fantasy?? Na Kama Badoo
Je Utakuja Ku zitimiza Siku Za Usoni?

Wengine Fantasy Zao Ni Kudate Makabila Tofauti, Raia Wa Rangi Tofauti!!
Wewee Je??

Tufungukeeee..
Leggooooooo!

Fantasy mahaba yake nini?
 
Mimi ilikuwaga kutawanya twins.....yani nidate nao huku wakijua ninawala wote,

Plz msinichambeeeeeee....
 
Hahaaaa Waogopa Vidonge Tuu.. Hivii Vitu Vinawatokea Watuu Mboonaa.. Ngoja Waamke Watakavyo Tiririka..

Hizi Ni Zama Za Ukweli Na Uwazi..

Unanirubiniiii....😉😉 wew kwanza ulitimiza zako!?
 
My fantasy is to smash as many races as possible in all of the habitable continents.

I'm not all the way there but I'm definitely half-way through.

*cuffs, whipped cream with cherries and strawberries on top**
Niliwahi kuwa na fantasy kama hiyo. Lakini mazingira yalinizuia, nilipopata nafasi niliitumia barabara. races from far east, south America( wahindi wekundu) ndio sikuwa na access nao. And I'm done now..!
 
Hello WanaJf,
Najua Wengii Wetu Tumeanza Mapenzi Toka Tukiwa Na Umri Wa Kubalehe..
Je Paka Leo Katika Maisha Yakoo Ya Mapenzi, Fantasy Zakoo Ni Ipi?
Je Umekwisha Itimiza Hizoo Fantasy?? Na Kama Badoo
Je Utakuja Ku zitimiza Siku Za Usoni?

Wengine Fantasy Zao Ni Kudate Makabila Tofauti, Raia Wa Rangi Tofauti!!
Wewee Je??

Tufungukeeee..
Leggooooooo!

anza kushuka na yako kwanza!
 
Back
Top Bottom