luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Hello
wanaJamiiforums.
Najua wengi wetu tumeanza mapenzi toka tukiwa na umri wa kubalehe.
Je paka leo katika maisha yakoo ya mapenzi, fantasy zakoo ni zipi?
Je umekwisha itimiza hizoo fantasy? na kama bado
Je utakuja ku zitimiza siku za usoni?
Wengine fantasy zao ni kudate makabila tofauti, raia wa rangi tofauti.
Wewee je?
Tufunguke
nipate mwanaume mrefu, mweupe kias body loshiba kias anaejiheshimu, so
lovely. pua ndefu kama yangu hata yeye asipokuwa mzur wa sura mm
natosha. ili tuzae watoto wazur.na niwe mama bora.