Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?

Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi?

ahaaaa mku mm natafutwa ahaaa. awezi kuwa navyo. mf awe above 30, si bahili, anacare, msafi saaana huyo? si rahis

hahaha, infact niko around 35 hapo, si bahili lakini ni mwangalifu kwenye matumizi, kama naweza kucare mtu nisiye na nasaba wala mahusiano naye nina hakika kama mtu nina mapenzi naye itakuwa zaidi, usafi...lol!! Usafi ni asili, ukijumuisha na kazi nazofanya na mikusanyiko nayolazimika kuhudhuria inatakiwa utofauti sana ili kublend, naongea tu.
 
ndio raha ya mwanaume awe ameshiba kiasi na si mchele mwembamba. si sisi wa dada vi vimodo flan ivi poa

hahahhaaa, hapo tu ndiyo nimeanguka, sina kitambi, nina mwili wa wastani kawaida tu si mwembamba si mnene, Sina muscle nyiingi, vyuma niliacha zamani kubeba...kwikwikwiii! Na wewe ni kimodo? vimodo ndiyo ugonjwa wangu, na kiwe kimodo haswa hata mvua ikinyesha naweza kukitia kwenye mfuko wa koti...lol!
 
katika maisha yakoo ya mapenzi, fantasy zakoo ni zipi?

Je umekwisha itimiza hizoo fantasy? na kam

Wengine fantasy zao ni kudate makabila tofauti, raia wa rangi tofauti.

Wewee je?

Tufunguke

[/SIZE]
[/QUOTE]
 
hahahhaaa, hapo tu ndiyo nimeanguka, sina kitambi, nina mwili wa wastani kawaida tu si mwembamba si mnene, Sina muscle nyiingi, vyuma niliacha zamani kubeba...kwikwikwiii! Na wewe ni kimodo? vimodo ndiyo ugonjwa wangu, na kiwe kimodo haswa hata mvua ikinyesha naweza kukitia kwenye mfuko wa koti...lol!
hahaha aiseee kwenye promo uko juu
 
Kuna yule dada wa vodacom alikua itv sijui anaitwa nani tena yani yule nikimpata kuna kitu nitamfanyia achanganyikiwe
 
Niliwahi kuwa na fantasy kama hiyo. Lakini mazingira yalinizuia, nilipopata nafasi niliitumia barabara. races from far east, south America( wahindi wekundu) ndio sikuwa na access nao. And I'm done now..!

aisee mzima wewe
 
Back
Top Bottom