Je, Feisal karudi Yanga SC?

Uliambiwa Yanga imemzurumu Feitoto? Au haikumlipa kulingana na matakwa ya mkataba wake?
Hebu nitolee upumbavu wako bladfakeni
Sehemu kubwa ya tatizo ni kwenye mkataba wa awali na mabadiliko yaliyotokea baada ya kuingia mkataba ule. Wakati Fei Toto anaingia Yanga, ilikuwa siyo timu ya juu na wala yeye mwenyewe hakuwa mchezaji star, kwa hiyo mkataba aliokuwa nao wakati ule ulikuwa ni mzuri kwa pande zote mbili na wala hakuwa na malalamiko. Sasa hivi Yanga imekuwa timu bingwa kiasi kuwa thamani ya wachezaji wake imekuwa ya juu sana, na hata jina la Fei tot limekuwa kubwa. Ilitakiwa Mkataba wake uangaliwe upya mapema sana tangu Yanga waliponyakuwa makombe yote ili uendane na mabadiliko hayo yaliyotokea.
 
Uliambiwa Yanga imemzurumu Feitoto? Au haikumlipa kulingana na matakwa ya mkataba wake?
Hebu nitolee upumbavu wako bladfakeni
Kuna watu wengi ma Mbumbumbu wa Mikataba, Feisal alikua akilipwa kulingana na matakwa ya kimkataba hatakama aliongeza jitihada katika kazizake bado alipata stahili yake.
Alichotakiwa ni kutafuta namna ya kuongea na uongozi ku review mkataba Kwa ushawishi wa kazi zake uwanjani.
Wageni wanalipwa vizuri kwakua Kwa wakati wanaingia uongozi wa timu unakua na uhitaji wa uyo mchezaji Sasa kama nyuma yake ana wasimamizi Wazuri atapata mkataba mzuri.
Wewe kama huna msimamizi mwenye nguvu katika meza ya majadiliano katika Mikataba unayo ingia sikuzote utaumia tu.
 
Huyu Toto hatoweza kufanikiwa kwa kuwasikiliza wana-siasa
Kikwete na Nchemba

So hapo sioni Kama Rais wa mawe kamtendea haki angemuacha atafute Green pastures

Maana kwa efforts zake angeenda nje kupitia Azam
 
Makolo nayaona[emoji23][emoji23][emoji23]sio kwamba yanaumia kisa mshahara hapana, nikwamba hawataki kumuona akiwa Yanga [emoji23]
 
Acha ujinga wewe, Fei ni muajiliwa kama waajiliwa wengine, yupo Yanga kutafuta malisho na si kumfurahisha mtu. Kama kasaini mkataba au kaboresha mkataba ni kheri kwake maana atapata alichohitaji.
Sawa na yeye ni mshabiki halali wa yanga yupo hapo kuifanya yanga inampa raha na si kumnufaisha mchezaji pekee.kwa hiyo usimbeze kila mtu anakitu chake anakitafuta.kikubwa zaidi kila mtu afuate sheria ili mambo yaende.
Haiwezekani ufanye kitu bora kwa ajili yako bila ya kufuata sheria na Taratibu
 
Akili yako ni kisoda sana .kwani uliambiwa yanga imemzuia asiende kwenye maslahi mazuri? Yanga inasisitiza sheria ifuatwe
 
Sasa hivi jamii forum imevamiwa na viraza.sijatarajia jamii forum ya sasa iwe na watu kama hawa ambao hata kufikiri hawawezi
 
Duuu kwa hiyo ukichukua makombe ni balaa ? Sijatarajia kuona jamii forum kuwa na vichwa kama hivi.Uongozi wa jamii forum iangalie watu wa namna hii wanaichafua jukwaa hili
 
Duuu kwa hiyo ukichukua makombe ni balaa ? Sijatarajia kuona jamii forum kuwa na vichwa kama hivi.Uongozi wa jamii forum iangalie watu wa namna hii wanaichafua jukwaa hili
Basi wewe ni pumba usiyefaa kusoma threads za JF kama hujui kuwa thamani ya timu pamoja na wachezaji wa timu huendana na titles zilizochokuliwa na time hiyo. Vinginevyo basi hakuna haja ya timu kushindania ubingwa na kuwalipa wachezaji fedha nyingi ili kuwasajiri. Gharama za kumhamisha mchezaji kutoka timu yenye ubingwa ni juu ya gharama za kumhamisha mchezaji mwenye sifa hizo hizo kutoka timu isiyokuwa na ubingwa.

Kama ulisoma chini ya miti, sema uelimishwe.
 
Reactions: 911
Huyu Toto hatoweza kufanikiwa kwa kuwasikiliza wana-siasa
Kikwete na Nchemba

So hapo sioni Kama Rais wa mawe kamtendea haki angemuacha atafute Green pastures

Maana kwa efforts zake angeenda nje kupitia Azam
Fei nje umri umemuacha,angeenda ile 2019 baada ya afcon sawa so hii peak ingemkuta angalau Belgium au France tungebaki na Amunike wachezaji wengi wangeenda Ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…