wa ukae
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 2,720
- 2,151
Kutaka kuboreshewa kipato ndio usaliti? Wewe unafikiri asingeanzisha hili timbwili kuna mtu angemjali? Na isiwe kwa Fei tu wachezaji wote wazawa warekebishiwe maslahi yao ili wacheze kwa moyoNdio karudi nimethibitisha Kwa macho yangu kumwona avic usiku wa leo.
Japo ndio hivo washabiki wa damu tumepoteza imani nae.
Hatutaki wachezaji wasaliti Yanga