Je, Feisal karudi Yanga SC?

Ndio karudi nimethibitisha Kwa macho yangu kumwona avic usiku wa leo.

Japo ndio hivo washabiki wa damu tumepoteza imani nae.

Hatutaki wachezaji wasaliti Yanga
Kutaka kuboreshewa kipato ndio usaliti? Wewe unafikiri asingeanzisha hili timbwili kuna mtu angemjali? Na isiwe kwa Fei tu wachezaji wote wazawa warekebishiwe maslahi yao ili wacheze kwa moyo
 
Acha ujinga wewe, Fei ni muajiliwa kama waajiliwa wengine, yupo Yanga kutafuta malisho na si kumfurahisha mtu. Kama kasaini mkataba au kaboresha mkataba ni kheri kwake maana atapata alichohitaji.
Watu wengine wana ushabiki maandazi awajui kuwa kuna maisha baada ya mpira
 
Ukiwa na akili timamu utagundua Feisail na Yanga walishindwana kwenye maboresho ya mkataba na sio kwamba analalamikia alichokisaini mwanzo.

Si unaelewa vizuri mkataba huwa na maboresho au hili ni jambo geni kwako?!
 
Uliambiwa Yanga imemzurumu Feitoto? Au haikumlipa kulingana na matakwa ya mkataba wake?
Hebu nitolee upumbavu wako bladfakeni
Kwahiyo ulitaka aendelee kulipwa 4m na kila baada ya game aje akutatue linda?

Wacha wivu kwa mwanaume anayeyatafuta mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…