Je, figo zinaweza kufeli ndani ya siku 25 baada ya renal function test normal?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu nauliza nilifanya vipimo vya utendaji kazi Figo tar16/8/24 mloganzila majibu yalikuja mkojo protein negative bun normal, creatinine norlmal, ila Jana uskiu nimekula sana ubwabwa kuamka asubuhi.

Nikaenda haja kubwa nyingi mno baada ya saa nikaenda Tena haja kubwa baada saa Tena tumbo likaanza uma chini yakitovu koote nikaenda harisha mara2.

Baada ya kuharisha hiyo saa tano asubuh sikuharisha Tena ikabaki tumbo kuuma kuuma Hadi saa kumi kula matunda na samaki likapoa.

Ila mkojo nilikua napata kidogo hapo nlikua nimekuamywa Lita 2 za maji mpaka kufikia saa moja nikaogeza Lita moja na nusu ya maji nimekunywa baada ya hapa Sasa ndo nkaaza pata mkojo mwingi naweka kwenye kopo Hadi mda huu nimefikisha Lita2 za mkojo hapo nimekunywa jumla maji tangu asubuh Lita 3.7mls.

Je, na tumbo chini ya kitovu limeacha uma saa kumi na moja je ntakua salama wakuu?
 
Mkuu kunywamaji pasipo na uhitaji kunapynguza UFANISI WA FIGO KUFANYA KAZI
kuharisha na FIGO kufail ni mbingu na ardhi

Acha kugoogle km unajihisi vibaya nenda hosptari upime kisha ndo upewe dawa
Usinywe dawa bira kupimwa nq ukapatikana na UGONJWA
kunywa dawa kwa kufuata dalili bira kufanyiwa VIPIMO ni hatari kwa FUTURE YA AFYA YAKO
 
Inawezekana, ingawa katika yote uliyoyaeleza, hakuna ulichokieleza kuonyesha kuwa kumekuwa na uthibitisho mabadiliko ya ufanyaji kazi wa figo zako kutoka kipimo cha kwanza(normal) kwenda abnormal.

Mabadiliko yanaweza kutokea, kwani kuna vinachoitwa acute causes of renal failure. Ukipata hizo ndani ya saa 24 mambo hubadilika.
 
Habar wakuu nauliza nilifanya vipimo vya utendaji kazi Figo tar16/8/24 mloganzila majibu yalikuja mkojo protein negative bun normal, creatinine norlmal, ila Jana uskiu nimekula sana ubwabwa kuamka asubuhi.

Nikaenda haja kubwa nyingi mno baada ya saa nikaenda Tena haja kubwa baada saa Tena tumbo likaanza uma chini yakitovu koote nikaenda harisha mara2.

Baada ya kuharisha hiyo saa tano asubuh sikuharisha Tena ikabaki tumbo kuuma kuuma Hadi saa kumi kula matunda na samaki likapoa.

Ila mkojo nilikua napata kidogo hapo nlikua nimekuamywa Lita 2 za maji mpaka kufikia saa moja nikaogeza Lita moja na nusu ya maji nimekunywa baada ya hapa Sasa ndo nkaaza pata mkojo mwingi naweka kwenye kopo Hadi mda huu nimefikisha Lita2 za mkojo hapo nimekunywa jumla maji tangu asubuh Lita 3.7mls.

Je, na tumbo chini ya kitovu limeacha uma saa kumi na moja je ntakua salama wakuu?
Ni changes za kawaida tu mkuu! Unless kama bado unaendelea kuumwa tumbo unaweza kucheck shida nyingine lakini si figo. Na maumivu ya Figo hayatokei eneo ulilolitaja. Kwa usahihi zaidi unaweza kucheck tena renal function
 
Mkuu kunywamaji pasipo na uhitaji kunapynguza UFANISI WA FIGO KUFANYA KAZI
kuharisha na FIGO kufail ni mbingu na ardhi

Acha kugoogle km unajihisi vibaya nenda hosptari upime kisha ndo upewe dawa
Usinywe dawa bira kupimwa nq ukapatikana na UGONJWA
kunywa dawa kwa kufuata dalili bira kufanyiwa VIPIMO ni hatari kwa FUTURE YA AFYA YAKO
Badili mtizamo, kuharisha kunaweza kusababisha figo kutokufanya kazi vyema. Hasa usipochukua tahadhari ya kurudisha maji na madini mapema.

Upungufu mkubwa wa maji husababisha ujazo wa damu kupungua (hypovolemia), hii husababisha mzunguko wa damu kutokutosheleza kupeleka oksijen na chakula. Wakati huo taka mwili huendelea kurundikana na uwezo wa figo kuweka madini sawa kwenye mwili na utendaji wake huathiriwa. Mwisho wa mzunguko huu ni kila mmoja/viungo kushika njia yake kwenye kutokufanya kazi vyema.
 
Habar wakuu nauliza nilifanya vipimo vya utendaji kazi Figo tar16/8/24 mloganzila majibu yalikuja mkojo protein negative bun normal, creatinine norlmal, ila Jana uskiu nimekula sana ubwabwa kuamka asubuhi.

Nikaenda haja kubwa nyingi mno baada ya saa nikaenda Tena haja kubwa baada saa Tena tumbo likaanza uma chini yakitovu koote nikaenda harisha mara2.

Baada ya kuharisha hiyo saa tano asubuh sikuharisha Tena ikabaki tumbo kuuma kuuma Hadi saa kumi kula matunda na samaki likapoa.

Ila mkojo nilikua napata kidogo hapo nlikua nimekuamywa Lita 2 za maji mpaka kufikia saa moja nikaogeza Lita moja na nusu ya maji nimekunywa baada ya hapa Sasa ndo nkaaza pata mkojo mwingi naweka kwenye kopo Hadi mda huu nimefikisha Lita2 za mkojo hapo nimekunywa jumla maji tangu asubuh Lita 3.7mls.

Je, na tumbo chini ya kitovu limeacha uma saa kumi na moja je ntakua salama wakuu?
Kapime kusukari
 
Badili mtizamo, kuharisha kunaweza kusababisha figo kutokufanya kazi vyema. Hasa usipochukua tahadhari ya kurudisha maji na madini mapema.

Upungufu mkubwa wa maji husababisha ujazo wa damu kupungua (hypovolemia), hii husababisha mzunguko wa damu kutokutosheleza kupeleka oksijen na chakula. Wakati huo taka mwili huendelea kurundikana na uwezo wa figo kuweka madini sawa kwenye mwili na utendaji wake huathiriwa. Mwisho wa mzunguko huu ni kila mmoja/viungo kushika njia yake kwenye kutokufanya kazi vyema.
Madini gani mkuu na kupitia vyakula gan maana tukishapata vyombo inabidi tusake madini na maji tukae sawa
 
Kwa mtu anaeharisha au kutapika, kama aweza kunywa maji ni vyema yachanganywe na ile packet ya Oral rehyadration salt(ORS). Hii ni kwa lengo la kurejesha madini yamauopotea wakati wa kuharisha na kutapika. Maji ya kawaida hayana kiasi husika cha madini.

Au unaweza kutengeneza nyumbani kwa maji safi na salama lita moja, unachanganya na sukari vijiko vidogo/chai 6 na chumvi nusu kijiko kidogo/chai.
 
Back
Top Bottom