Sikujiunga na Mtandao huu wa JamiiForums ili nipendwe na Wanafiki na Juha wa mfano wako tafadhali na nashangaa Kukuona katika huu Uzi wangu tena hadi Ukichangia wakati Umeshakiri kuwa hunipendi na huwa Unanipuuza.
Kesho Ni Siku Mbaya Kwa Makolo Kwani Watafungwa Na Berkane...Huku Yanga Tunamfunga Kagera Sugar Gape Linakuwa Point 11 Na Mbaya Zaidi Wasiyempenda Mzee Wa Kudonoa Fiston Kalala Mayele Anatupia Tena (Frustration)