Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

Pro Biznesi

Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
9
Reaction score
10
Najua hii ni mada maarufu na nyeti kwa baadhi ya watu. Sababu ni kwamba Forex ni biashara ya kimtandao

Na nahitaji ushauri kama yupo mtu ambaye alishawahi kufanya kufanikiwa hii biashara ya mtandao ya Forex Trading.

Niambieni je ni kweli inaweza kumtoa mtu kwenye umaskini?
 
Umaskini unatokaje kwenye bahati nasibu?
 
Forex ni biashara kama zingine tuu kwanza kujua si scam banks, bureau zinafanya na wengine. Yes kwa mtazamo wangu najua forex inaweza kumutoa kimaisha ila si rahisi. Dunia utaiona chungu ukuweka mtaji kwa broker alafu uamue kununua signals ni lazima upigwe tuu, ukiweka pesa akili yako tuu ikuambie buy/sell na huna knowledge utapigwa tuu, ukinunua robot lazima ubamizwe vilevile, na kierere ikizidi unapigwa na kitu kizito.
My advice is to take your time learn, practice na ujipe kazi nyingine kabla uamue kama sasa forex inakulipa.
 
Chukua huu ushauri
 
Watu wanatafuta pesa KWa jasho afu wewe unataka watapeliwe..... Mungu anakuona
 
Few believe then see but many see then believe. It doesn't work like that.
I agree with those who say you
are only as powerful as your belief
system because that belief will give
you the power of taking an action
with more certainty and less
hesitation. We act out what we
believe: those mental beliefs are the
scriptwriters for our play of life.


You do not see,then believe.Instead you believe,then see your perception of reality from those
beliefs.This is a critical distinction.So you are never seeing and experiencing the reality you
believe you see.Instead,you perceive a story that the brain has made up that explains all the
"stuff"going on in your world.That is exactly what your rationalizing thinking brain does-it
creates stories or narratives that make sense of the world in which you live.
 
Ni simple but not easy.
Mbona ukipendaga demu wa kabila lolote akitokea akakuingia kwenye moyo unazama mazima bila ya kutafuta ushauri Mana unataka umuonje tu ili roho yako iridhike..



Iko ivi inabidi uji expose kwa talanta nyingi Mana hujui itakayokuchagua yaani yenyewe ndio inayokuchagua sio kuwa ndiye unayeichagua. Unatongoza wengi Ila yupo atakayekukubali Hadi umuoe Ila ulitongoza wengi mno.
 
Mhhhhh
 
Kama una pesa ya ziada kama una uhakika wa kuingiza pesa nje ya trading then anza ku trade otherwise SIKUSHAURI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…