Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
Ulitaka ni-risk shingapi?Mbona una risk pa kubwa ivyo bro
How much is "low risk"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka ni-risk shingapi?Mbona una risk pa kubwa ivyo bro
Sio Kama nilitaka Kaka.Ulitaka ni-risk shingapi?
How much is "low risk"
ELIMU ELIMU ELIMU,Najua hii ni mada maarufu na nyeti kwa baadhi ya watu. Sababu ni kwamba Forex ni biashara ya kimtandao
Na nahitaji ushauri kama yupo mtu ambaye alishawahi kufanya kufanikiwa hii biashara ya mtandao ya Forex Trading.
Niambieni je ni kweli inaweza kumtoa mtu kwenye umaskini?
800-500=300ELIMU ELIMU ELIMU,
Forex ni Biashara ambayo kufanikiwa kwake kunategemea mambo mengi saaana.
1. Je umesoma na kuelewa.
2. Je umetrade Kwa miaka mingapi , uzoefu.
3. Je huna papara.
4. Je unataka mafanikio ya haraka?
5. Unajisikiaje ukipoteza hela.
6. Je unajisikiaje ukipatia trade.
7. Je wewe ni mvumilivu hukati Tamaa.
8.......
9.....
10......
Unatakiwa ukae kwenye Game at least 2 years kidogo utaanza kuona uhalisia wa hii business.
Kumbuka kwenye Forex mtaji siyo Tatizo kikubwa ni knowledge.
Mfano mtu mwenye uelewa mzuri anaweza kuwa na $500 baada ya Miezi sita ikasoma $800
Mtu anayejua juujuu anaweza kuwa na $4000 baada ya Miezi sita akabakiwa na $ 2300
Forex inahitaji mda mwingi wa kujifunza pia unatakiwa uwe na kaxi nyingine ya kukupatia kipato kama ndo unaanza.
Kamwe usichukue signal Kwa mtu yoyote Yule, tengeneza strategy Yako ambayo ndo itakuwa msahafu Katika safari Yako ya trading.
All strategies are good, except we have bad Forex traders who trade with emotions.
Nakuthibitishia mafanikio yapo ila inahitaji mda mrefu kuyafikia pia itategemea na traits zako maana most of the time the market moves against normal human thinking. That is why 95% loose money in this game.
Kila la heri
Huwezi kunielewa,800-500=300
300/6=50
50/22=2.7
Yaani Una portfolio ya 500usd kwa siku unatengeneza faida ya dollar 2.7, go hard or go home
Of course I can't understand your trading planHuwezi kunielewa,
what matters is the system and longterm plan. Anza na hiyo $500 njoo baada ya miezi sita, na uhakika utakuwa umeiparua yote kwa tamaa za ku double account within a month
Risk management is the key, Narudia tena huwezi kunielewa
Yes sure huwezi elewa my risk appetiteOf course I can't understand your trading plan
500usd for 2 usd per day
Is this trading or a joke
Peace 🤝Yes sure huwezi elewa my risk appetite
Very smal asiee sa unarisk kiasi gani au 1;1, anyaway kama unamaarifa atleast 10usd angalau kwa mwezi 250usd miez sita una 1500 ila utakuwa unacheza kwa mimi usd 500 kwa miez sita atleast imefika 5000usd Bila tamaaOf course I can't understand your trading plan
500usd for 2 usd per day
Is this trading or a joke
At least 10usdVery smal asiee sa unarisk kiasi gani au 1;1, anyaway kama unamaarifa atleast 10usd angalau kwa mwezi 250usd miez sita una 1500 ila utakuwa unacheza kwa mimi usd 500 kwa miez sita atleast imefika 5000usd Bila tamaa
Kabisa tena tradea chache tuAt least 10usd
Kwa mm natafuta 10-20 usd per day
Lkn Sio 2usd, big no
Kwamba $500. Baada ya Miezi sita unakuwa na $5000? Aha ha haaVery smal asiee sa unarisk kiasi gani au 1;1, anyaway kama unamaarifa atleast 10usd angalau kwa mwezi 250usd miez sita una 1500 ila utakuwa unacheza kwa mimi usd 500 kwa miez sita atleast imefika 5000usd Bila tamaa
Nashangaa vijana wanarahisha mambo that is why they are burning their accounts everyday.Ushauri wangu ni chukua at least miaka 10 kujifunza hii Forex na usijifunze kwa kuangalia bali jifunze kwa kufanya. Forex ni sawa na biashara nyingine tuu but tofauti yake ni inafanyika mtandaoni. Naweza kutolea mfano mambo ya kilimo watu wengi wanaona ni rahisi kuyafanya kwakua tangu wakiwa watoto wadogo wamekua wakienda shambani na wazazi wao, hivyo kwenye forex nenda kwenye platform na mtu anaejua uendelee kutrade huku unajifunza na uwe tayari kupoteza zaidi ya milion 50 them ukija kuijua vizuri utakua umeshauaga umaskini
Take this to the nearest bank...hifadh na ufanyie kazForex ni biashara kama zingine tuu kwanza kujua si scam banks, bureau zinafanya na wengine. Yes kwa mtazamo wangu najua forex inaweza kumutoa kimaisha ila si rahisi. Dunia utaiona chungu ukuweka mtaji kwa broker alafu uamue kununua signals ni lazima upigwe tuu, ukiweka pesa akili yako tuu ikuambie buy/sell na huna knowledge utapigwa tuu, ukinunua robot lazima ubamizwe vilevile, na kierere ikizidi unapigwa na kitu kizito.
My advice is to take your time learn, practice na ujipe kazi nyingine kabla uamue kama sasa forex inakulipa.