Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

Sijataja pesa apo kwanza huwa nafundisha bure ila kwa watu serious alafu trding aifundishwi kwa kuchat inatakiwa series za zoom discussion n.k. sio unashare material hakuna anaetrade hata mmoja
Kiongoz wadau wa serious wapo kibao we ukianza wadau utawaona tu.....so keep it up tusonge
 
Mkuu achana na hii kitu inaitwa forex
Utapigwa tu
Utarudi hapa kufutwa machizi
Watu wasikurembe
Hiyo ni mojawapo ya biashara zenye asili ya kitapeli kamari y ajabu sana

NARUDIA TENA
Achana na hiyo forex

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Uvuvi ni kamari. Tendering ni kamari. Uchimbaji madini ni kamari. Hata kufungua biashara ni kamari. Kikubwa kanuni za mchezo
 
Mkuu huwez kua na $500 hapaf baada ya miez sita ukawa na $800 hapo itakua anacheza bro kwa hiyo kwa cku anapata $2 halaf anaridhka wakat mtaji wake ni mkubwa..[emoji23][emoji119]
Huyo anatrade demo,sio risk taker.

Mtu anayetrade ukimpa 500$ kwa siku anao uwezo wa kuweka dola 10$ bila ya tamaa.
Kwa mtaji wa 500$ alafu reward iwe 2$ hiyo risk itakuwa 0.5$ .

Ra risk ya 0.5$ kila siku trade zitagonga stop loss kwa sababu market haiendi straight line huwa ina swing na hapo hapo kuna stop loss hunters.

So 500$ for 2$ ni kucheza sokoni
 
ELIMU ELIMU ELIMU,

Forex ni Biashara ambayo kufanikiwa kwake kunategemea mambo mengi saaana.
1. Je umesoma na kuelewa.
2. Je umetrade Kwa miaka mingapi , uzoefu.
3. Je huna papara.
4. Je unataka mafanikio ya haraka?
5. Unajisikiaje ukipoteza hela.
6. Je unajisikiaje ukipatia trade.
7. Je wewe ni mvumilivu hukati Tamaa.
8.......
9.....
10......

Unatakiwa ukae kwenye Game at least 2 years kidogo utaanza kuona uhalisia wa hii business.

Kumbuka kwenye Forex mtaji siyo Tatizo kikubwa ni knowledge.

Mfano mtu mwenye uelewa mzuri anaweza kuwa na $500 baada ya Miezi sita ikasoma $800


Mtu anayejua juujuu anaweza kuwa na $4000 baada ya Miezi sita akabakiwa na $ 2300


Forex inahitaji mda mwingi wa kujifunza pia unatakiwa uwe na kaxi nyingine ya kukupatia kipato kama ndo unaanza.

Kamwe usichukue signal Kwa mtu yoyote Yule, tengeneza strategy Yako ambayo ndo itakuwa msahafu Katika safari Yako ya trading.

All strategies are good, except we have bad Forex traders who trade with emotions.


Nakuthibitishia mafanikio yapo ila inahitaji mda mrefu kuyafikia pia itategemea na traits zako maana most of the time the market moves against normal human thinking. That is why 95% loose money in this game.

Kila la heri
Umesema vizuri, hii kitu inahitaji kupata elimu kwanza, kudhibiti tamaa ni msingi mku wa mafanikio. Kwa bahati mbaya wabongo sisi ni wavivu kusoma.
 
Kwamba $500. Baada ya Miezi sita unakuwa na $5000? Aha ha haa


Nikuulize swali unaongea nadharia au Una trade real Account.? Na account yako ina bei Gani mpaka sasa?

Mind you strategy nyingi zina profit margin ya 45% hapo umeijtahifi Sana.

Kwenye Forex Hakuna daily profit utakuwa unadaganya watu,

Safari yangu ya forex sijawahi kuona set up kila siku, na kama Una trade real Account utakubaliana nami always win trades are small compared to losing trade.


Kama una strategy Hata ya Ku double dólar 500 Kwa miezi 2 naiomba Hapá kila mtu aone Tafadhali nami nitumie utakuwa unenisaidia sana

Kinacholeta Faida kwenye Forex ni R:R, labda kama tunaongea hapá kufurahisha jukwaa na kuvutia watu..

Nakuhakikishia Forex ni Biashara hatari na ngumu mno ukiwa na Tamaa pamoja na papara.


Kama dola 500, baada ya Miezi 6 unakuwa na dolar 5000 Kila mtu Angekuwa tajiri.

Maanake hiyo dola 5000 baada ya Miezi 6 mingine unakuwa Hata na dolar 60000, baada ya mwaka dolar 240,000. Achana na nadharia za kilimo cha matikiti boss.
daaah
 
Sio Tanzania popote pale..., Unless unatoa mafunzo au wewe ni broker au unafanya hedging, Yaweza pia Kukupoteza kabisa..., kwanini nasema hivyo statistically wengi wanapigwa kuliko wanaopata...

Approximately 1-20% of day traders make money day trading. Just a tiny fraction of day traders make any significant amount of money. That means that between 80 to 99% of them fail. We have looked at plenty of research and very few traders can brag about making any significant amount of money day trading.

Hayo sio maneno yangu ni statistically proven; ila huenda wewe ni hio 1%
 
Back
Top Bottom