Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hili ni swali ambalo watu wengi wanajiuliza, Freeman Mbowe anatajwa kama Mwanasiasa wa kisasa aliyekomaa kuliko yeyote kwenye siasa za Tanzania kulinganisha na hawa waliopo kwenye uongozi wa vyama vya kisiasa hivi sasa, huyu ni Gwiji la siasa za vyama vingi nchini Tanzania, wako wanaoamini kwamba misukosuko aliyoipata kutokana na siasa za kishamba za Tanzania basi kama naye angekuwa mshamba basi mpaka muda huu tungemsahau.
Hajaonekana popote tangu msiba huu mkubwa utokee nchini , bali kuna tetesi kwamba huenda akaibuka siku ya hitimisho huko Chato, ngoja tuendelee kusubiri.