Je, Freeman Mbowe ataibukia Chato kushiriki mazishi?

Je, Freeman Mbowe ataibukia Chato kushiriki mazishi?

Kuna watu wasio na hekima naona wakipatia kifo pongezi wakati waungwana tunasikitika..pigo halina uchaguzi kuwa huyu au yule. kila mmoja ajiandae na mauti. Fanya mema nenda zako.

R.I.P The Chemist, Genius, Legend, Father, Dr.John JPM
GOD IS OUR PROVIDER.
TUTAKUMBUKA DAIMA.
 
Kuna watu wasio na hekima naona wakipatia kifo pongezi wakati waungwana tunasikitika..pigo halina uchaguzi kuwa huyu au yule. kila mmoja ajiandae na mauti...Fanya mema nenda zako..
R.I.P The Chemist,Genius,Legend,Father,Dr.John JPM
GOD IS OUR PROVIDER.
TUTAKUMBUKA DAIMA.
umeandika kwa uchungu sana !
 
umeandika kwa uchungu sana !
Nadhani ni balaa na dhambi kubwa kwa Binadamu kumdhihaki mfu/marehemu.. ROHO tayari ishaondoka..ni swala la kuaga mwili ili maziko yakamilishwe.

Kisha waweza kujikumbusha mazuri na mabaya, yatupasa kuenzi mema na kuepuka mapungufu uliyoyaona kwa marehemu alafu tunaboresha maisha kwa waliobaki/Tuliobaki.

HAKIKA MAISHA YA DUNIANI NI FUNZO. TUNAPITA.
 
Hadi sasa imedhihirika kuwa kwanini Mbowe bado anastahili kuendelea kubakia kuwa mwenyekiti CHADEMA........BUSARA NA HEKIMA NI NGUZO MUHIMU KWA MWANASIASA NGULI....
Naweza kukubaliana na wewe kwa kiasi fulani, hekima ya mbowe ndiyo inaishikilia chadema. Siku atakapochukua uenyekiti yule zezeta basi chadema kwishinei! Yule lafa hana akili ya kuongoza chama.
 
Nadhani ni balaa na dhambi kubwa kwa Binadamu kumdhihaki mfu/marehemu.. ROHO tayari ishaondoka..ni swala la kuaga mwili ili maziko yakamilishwe..
Kisha waweza kujikumbusha mazuri na mabaya, yatupasa kuenzi mema na kuepuka mapungufu uliyoyaona kwa marehemu alafu tunaboresha maisha kwa waliobaki/Tuliobaki.
HAKIKA MAISHA YA DUNIANI NI FUNZO..TUNAPITA.
Hakika !
 
Naweza kukubaliana na wewe kwa kiasi fulani, hekima ya mbowe ndiyo inaishikilia chadema. Siku atakapochukua uenyekiti yule zezeta basi chadema kwishinei! Yule lafa hana akili ya kuongoza chama.
Matusi wakati wa maombolezo si jambo zuri
 
Matusi wakati wa maombolezo si jambo zuri
Mkuu mbona yule zezeta anaporomosha matusi wakati wa msiba, tena yanakipa taswira mbaya chama, lakini hujasema chochote?
Btw, uzezeta siyo tusi ni hali halisi. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa anaropoka hivyo.
 
Mbowe hata mimi nimeanza kumkubali uyu jamaa,ana hekima na busara,sio kama Lisu hana breki kumkinywa.
Kama Magufuli alivyoudhuria msiba wa kaka yake Mbowe natumaini Mbowe nayeye atarudisha fadhila.
Mungu mbariki Mbowe,,tehe,,tehe.
Hizi sifa hizi zinaonyesha kumwomba Mh.Ahudhurie.Si tumeambiwa yuko nje ya nchi au huamini.Nenda,tangulia wewe Chato.anakuja.
 
Hivi inasaidia nini? Whatever itakavyokua Magufuli kafa!! Ni mzoga hakuna anayejali tena! Hata mfanye nini haitabadilisha ukweli kua Magufuli kafa!!!!

Wawe walitaka vile au hivi magufuli kafa that's all!!
Kwani kuna aliyebisha kafa!
 
Hadi sasa imedhihirika kuwa kwanini Mbowe bado anastahili kuendelea kubakia kuwa mwenyekiti CHADEMA........BUSARA NA HEKIMA NI NGUZO MUHIMU KWA MWANASIASA NGULI....
Yaani chama chenye maelfu ya wanachama ni yeye tu mwenye busara. Ama kweli vichekesho! Hivi Mbowe ana shahada/stashahada ipi vile!
 
Mbowe kwenye busara na break ya mdomo namkubali Ila shida yake kubwa ni uenyekiti. Haiwezekani ukae kwenye uenyekiti miaka 20 utafikiri hakuna wengine
Kwani CCM inapong'ang'ania kubaka uongozi miongo yote vyama vingine havipo?
 
Unazungumzia busara kama maandazi au vitumbua tu.Siku ukipata bahati ya kusikia uchungu wa risasa 16 mwilini kwako au kukimbia nchi kwa sababu mtu mmoja mwenye nguvu hakupendi ndio uje hapa kuongelea busara.
Mbowe ana busara sana ataibuka sio kama wale vichaa wengine akina lema wanakesha Twitter ku comment na kutoa dhihaka
 
Mbowe ana busara sana ataibuka sio kama wale vichaa wengine akina lema wanakesha Twitter ku comment na kutoa dhihaka
Lema katoa dhihaka gani? Uwe objective, dhihaka ipi? Hutaki ukweli, unataka asifie?
 
Back
Top Bottom