Je, Freeman Mbowe ataibukia Chato kushiriki mazishi?

Je, Freeman Mbowe ataibukia Chato kushiriki mazishi?

Ni muhimu lakini si lazima kutokana na Imani ya wanaCCM kwanba CHADEMA wanafurahia msiba ni bora atulie labda ahakikishiwe usalama wake.

Na hizo ndio sababu viongozi wengi makini wa upinzani hawajajitokeza.
 
Hili ni swali ambalo watu wengi wanajiuliza, Freeman Mbowe anatajwa kama Mwanasiasa wa kisasa aliyekomaa kuliko yeyote kwenye siasa za Tanzania kulinganisha na hawa waliopo kwenye uongozi wa vyama vya kisiasa hivi sasa, huyu ni Gwiji la siasa za vyama vingi nchini Tanzania, wako wanaoamini kwamba misukosuko aliyoipata kutokana na siasa za kishamba za Tanzania basi kama naye angekuwa mshamba basi mpaka muda huu tungemsahau.

Hajaonekana popote tangu msiba huu mkubwa utokee nchini , bali kuna tetesi kwamba huenda akaibuka siku ya hitimisho huko Chato, ngoja tuendelee kusubiri.
Mbowe ni mwanasiasa mahiri sana anatufaa sana pale juu.
 
Hivi ni nini kilimshinda huyu wanayezurula naye kuwa na uvumilivu wa Kisiasa?
 
Dah nyie watu ni shida. Mnaringishia maiti na kuitembeza kama mmeshinda kombe!
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaa! Wanatembeza utafikiri maandazi yaliyokosa mnunuzi. Yote hiyo ni kujaribu kuvuta hisia za watu ili angalau wapate huruma ya umma.
 
Mbowe hata mimi nimeanza kumkubali uyu jamaa,ana hekima na busara,sio kama Lisu hana breki kumkinywa.

Kama Magufuli alivyoudhuria msiba wa kaka yake Mbowe natumaini Mbowe nayeye atarudisha fadhila.

Mungu mbariki Mbowe,,tehe,,tehe.
Alikwenda kwa sababu KAKA Mbowe alikuwa mjeshi tena Brig Gen
 
..serikali ilitakiwa itoe MUALIKO rasmi kwa viongozi wa vyama vya siasa nchini.

..Magufuli alikuwa mwenyekiti wa ccm, hivyo ni ilitakiwa wenyeviti wenzake wa vyama vya siasa washirikishwe ktk kumuaga.
 
Hivi inasaidia nini? Whatever itakavyokua Magufuli kafa!! Ni mzoga hakuna anayejali tena! Hata mfanye nini haitabadilisha ukweli kua Magufuli kafa!!!!

Wawe walitaka vile au hivi magufuli kafa that's all!!

kama vile lissu alivyokuwa hatashinda oct 2020,kujazana kwenye mikutano yake ilikuwa ni kupoteza muda tu.
 
Hili ni swali ambalo watu wengi wanajiuliza, Freeman Mbowe anatajwa kama Mwanasiasa wa kisasa aliyekomaa kuliko yeyote kwenye siasa za Tanzania kulinganisha na hawa waliopo kwenye uongozi wa vyama vya kisiasa hivi sasa, huyu ni Gwiji la siasa za vyama vingi nchini Tanzania, wako wanaoamini kwamba misukosuko aliyoipata kutokana na siasa za kishamba za Tanzania basi kama naye angekuwa mshamba basi mpaka muda huu tungemsahau.

Hajaonekana popote tangu msiba huu mkubwa utokee nchini , bali kuna tetesi kwamba huenda akaibuka siku ya hitimisho huko Chato, ngoja tuendelee kusubiri.
Mfano anaibuka vipi wakati majuzi hata kutoa nafasi KWA chadema kusema chochote mlishindwa? Huu msiba ni mkubwa,na ulihitaji kua na ratiba ya tahasisi mbambali kutoa neno hasa wawakilishi wa vyama Kama sehemu ya mshikamano, but wapi, leo mwamtaka mbowe aje msibani japo ni Jambo zuri but kamati ya mazishi KWA kiongozi inamapungufu Sana,iwe KWA kujua au kutojua
 
..serikali ilitakiwa itoe MUALIKO rasmi kwa viongozi wa vyama vya siasa nchini.

..Magufuli alikuwa mwenyekiti wa ccm, hivyo ni ilitakiwa wenyeviti wenzake wa vyama vya siasa washirikishwe ktk kumuaga.
Hata kuwatambua tu wapinzani kwenye msiba imeshindikana
 
Mwenyekiti Mbowe ni kinara wa demokrasia Tanzania.
Kinara wa demokrasia ipi? Amekuwa mwenyekiti kwa muda gn? Kung'ang'ania uenyekiti ni demokrasia? Ndo maana mnaburuzwa tu kama nyumbu!
 
Kinara wa demokrasia ipi? Amekuwa mwenyekiti kwa muda gn? Kung'ang'ania uenyekiti ni demokrasia? Ndo maana mnaburuzwa tu kama nyumbu!
Kaja mwingine tumtungie nyimbo za kusifu na kuabudu Kama kawaida yetu
 
Back
Top Bottom