JAY MTAALAM
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 1,595
- 1,388
umeandika kwa uchungu sana !Kuna watu wasio na hekima naona wakipatia kifo pongezi wakati waungwana tunasikitika..pigo halina uchaguzi kuwa huyu au yule. kila mmoja ajiandae na mauti...Fanya mema nenda zako..
R.I.P The Chemist,Genius,Legend,Father,Dr.John JPM
GOD IS OUR PROVIDER.
TUTAKUMBUKA DAIMA.
Duuh wakikaa kimya mnasema hawana upepo, wakiongea mnasema wanadhihaki marehemu.. sasa wafanyejebaada ya kuona upepo haupo kama walivyotaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njaa ni kalii katuachiaAibuke asiibuke sisi tunataka wazike haraka ili tugange hizi njaa alizotuachia
Kabisa maana mataga hawaamini kama JIWE ameenda yaani wanatafuta wa kumtupia lawama.Mataga watasema yy ndio kamuua
Hapo tundu linakuwasha,Toka iletwe posa kwenh umekuwa hukosi maneno...
Nadhani ni balaa na dhambi kubwa kwa Binadamu kumdhihaki mfu/marehemu.. ROHO tayari ishaondoka..ni swala la kuaga mwili ili maziko yakamilishwe.umeandika kwa uchungu sana !
Anahangaika na Corona Dubai hawezi kutokeaAibuke asiibuke sisi tunataka wazike haraka ili tugange hizi njaa alizotuachia
Naweza kukubaliana na wewe kwa kiasi fulani, hekima ya mbowe ndiyo inaishikilia chadema. Siku atakapochukua uenyekiti yule zezeta basi chadema kwishinei! Yule lafa hana akili ya kuongoza chama.Hadi sasa imedhihirika kuwa kwanini Mbowe bado anastahili kuendelea kubakia kuwa mwenyekiti CHADEMA........BUSARA NA HEKIMA NI NGUZO MUHIMU KWA MWANASIASA NGULI....
Hakika !Nadhani ni balaa na dhambi kubwa kwa Binadamu kumdhihaki mfu/marehemu.. ROHO tayari ishaondoka..ni swala la kuaga mwili ili maziko yakamilishwe..
Kisha waweza kujikumbusha mazuri na mabaya, yatupasa kuenzi mema na kuepuka mapungufu uliyoyaona kwa marehemu alafu tunaboresha maisha kwa waliobaki/Tuliobaki.
HAKIKA MAISHA YA DUNIANI NI FUNZO..TUNAPITA.
Matusi wakati wa maombolezo si jambo zuriNaweza kukubaliana na wewe kwa kiasi fulani, hekima ya mbowe ndiyo inaishikilia chadema. Siku atakapochukua uenyekiti yule zezeta basi chadema kwishinei! Yule lafa hana akili ya kuongoza chama.
Mkuu mbona yule zezeta anaporomosha matusi wakati wa msiba, tena yanakipa taswira mbaya chama, lakini hujasema chochote?Matusi wakati wa maombolezo si jambo zuri
Hizi sifa hizi zinaonyesha kumwomba Mh.Ahudhurie.Si tumeambiwa yuko nje ya nchi au huamini.Nenda,tangulia wewe Chato.anakuja.Mbowe hata mimi nimeanza kumkubali uyu jamaa,ana hekima na busara,sio kama Lisu hana breki kumkinywa.
Kama Magufuli alivyoudhuria msiba wa kaka yake Mbowe natumaini Mbowe nayeye atarudisha fadhila.
Mungu mbariki Mbowe,,tehe,,tehe.
Aibuke asiibuke sisi tunataka wazike haraka ili tugange hizi njaa alizotuachia
Kwani kuna aliyebisha kafa!Hivi inasaidia nini? Whatever itakavyokua Magufuli kafa!! Ni mzoga hakuna anayejali tena! Hata mfanye nini haitabadilisha ukweli kua Magufuli kafa!!!!
Wawe walitaka vile au hivi magufuli kafa that's all!!
Yaani chama chenye maelfu ya wanachama ni yeye tu mwenye busara. Ama kweli vichekesho! Hivi Mbowe ana shahada/stashahada ipi vile!Hadi sasa imedhihirika kuwa kwanini Mbowe bado anastahili kuendelea kubakia kuwa mwenyekiti CHADEMA........BUSARA NA HEKIMA NI NGUZO MUHIMU KWA MWANASIASA NGULI....
Kwani CCM inapong'ang'ania kubaka uongozi miongo yote vyama vingine havipo?Mbowe kwenye busara na break ya mdomo namkubali Ila shida yake kubwa ni uenyekiti. Haiwezekani ukae kwenye uenyekiti miaka 20 utafikiri hakuna wengine
Mbowe ana busara sana ataibuka sio kama wale vichaa wengine akina lema wanakesha Twitter ku comment na kutoa dhihaka
Lema katoa dhihaka gani? Uwe objective, dhihaka ipi? Hutaki ukweli, unataka asifie?Mbowe ana busara sana ataibuka sio kama wale vichaa wengine akina lema wanakesha Twitter ku comment na kutoa dhihaka