Je, Freeman Mbowe atajizolea pointi tatu muhimu kwenye press ya kesho?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
761
Reaction score
6,985
Zipo hoja nyingi zinazohitaji msukumo wa kisiasa, msukumo huo ni vigumu kuupata ndani ya chama Tawala ila utaupata upinzani.

Upinzani vyama vyote vimepoteza dira isipokuwa baadhi ya viongozi wa Chadema wanaweza kuendelea kuaminiwa kwa uvumilivu wao Hadi kuvuka salama mtihani wa uchaguzi mkuu 2020 uliopelekea wanachama tisa kujiondoa kwenye harakati za kutafuta Uhuru, haki na maendeleo ya watu nakuingia bungeni kinyume na sheria pamoja na Katiba ya nchi.

Kesho Mhe. Mbowe atazungumza na vyombo vya habari, nyuma ya hotuba yake lipo deni lakusimamia uhuru, haki na maendeleo ya watu ikiwa ni kauli mbiu waliyotumia kuwaomba wananchi kura. Wananchi waliwapa kura ila watawala hawakutaka kura za wananchi zihesabiwe bali wao wateue watu wanaodhani wanafaa.

Lakini pia ipo agenda ya Katiba mpya ambayo kila mtanzania msomi na asiyesoma anaelewa fika ndiyo nguzo yakutuvusha Kama taifa. Huu siyo msimamo au agenda ya viongozi wa CCM ila ni agenda ya upinzani, wanaharakati na wananchi wanaoitakia mema nchi yao. Mhe. Mbowe ataweza kuja na mbinu zakufikisha agenda hii mbele bila kuingia kwenye meza ya mazungumzo na watesi wetu CCM?

Hipo hoja ya kuwa na chama Cha siasa kisichokubali kwa namna yoyote kushirikiana na chama dola isipokuwa kwa agenda zenye maslahi ya Taifa letu. Je, Mhe. Mbowe anaweza kutuakikishia hiyo kesho kwamba wanachama na wapenzi wa chadema wapo tayari kuishi kwa njaa lakini wasimamie kupatikana haki, Uhuru na maendeleo ya watu?

Tunayo tume ya uchaguzi ambayo kimantiki ni wateule wa Rais aliyepo na ambayo kimantiki si tume huru ya uchaguzi ila ni tume ya uchaguzi kwa maana ya kikosi Cha watu wenye vyeo, je anatuakikishia kwamba chadema watasusia chaguzi zote Hadi tuwe na time huru?

Mwisho Kuna watu wameibuka na kauli tata, jana walituaminisha hivi leo wanatuaminisha vile. Watu hawa ni wasomi ila kimantiki hawana akili, je anashauri tutumie mbinu gani kukabiliana na njama za kundi hili lakisiasa linaloangalia maslahi?
 
Kwa kuwa ni swahiba wa mkwere ataunga mkono ujenzi wa bandari ya bagamoyo
 
Kipindi cha 2015-2020 ni kipindi ambacho wapinzani wanatakiwa kujilaumu wenyewe kwa kukosa kuwa na uelewa wa wapi nchi inaelekea na wananchi wanataka nini hivyo ikasababisha anguko lao katika uchaguzi uliopita. Upinzani ukawa umepoteza uelekeo na kuaminika kwa watanzania.

Upande walioamua kuuchagua watanzania wa kuchagua wabunge karibu wote wa CCM ni upande sahihi kwa sababu watanzania waliona juhudi za JPM ni za kweli na halisi.

Kurudisha imani hiyo kwa watanzania inahitaji mikakati mikubwa zaidi ya waliyonayo sasa kwa sababu watanzania wataendelea kuuenzi uongozi wa JPM kama kielelezo cha mapambano ya kweli dhidi ya unyonge, kujiamini na kujitambua. Imani hii itadumu kwa muda mrefu mpaka kizazi kilichoshuhudia uongozi wa JPM wakiwa na akili timamu kitakapopotea na kufutika na hapo tunazungumzia si chini ya miaka 60 ijayo.

Magufuli ni ' living legend' ataishi ndani yetu miaka mingi sana.
 
Pole mataga Mwendazake katangulia
 
Shiida!

Chadema ni Chama ambacho kimeaminiwa sana na watu wengi wenye mawazo tofauti na CCM lakini bahati mbaya kimeshindwa kuitumia fursa hiyo vizuri.

Uendeshaji wke nahisi una walakini kidogo hasa katika kuzungumzia mambo ya nchi.Pamekuwa na press conference za Bavicha,Bawacha,Katibu Mkuu,naibu katibu mkuu na wakati wingine zikipishana kwa muda mfupi mno.

Chadema kimeshindwa kuwa na vitengo active kama vya mambo ya uchumi ambapo bajeti za serikali zingepitiwa na kutolewa ufafanuzi wa kina (kama anavyofanya Zitto).

Kwa mabadiliko haya ya uongozi Chadema inahitaji utulivu na kupunguza wazungumzaji.
 
Hata huyo Mbowe unaetaka azungumzie viongozi wenye kauli tata na yeye pia ni mtata. Unakumbuka mwaka 2014 kwenda chini Mbowe na genge lake akiwemo mshika pembe wake Lisu walituaminisha kuwa mawaziri wastaafu mh Lowasa na Sumaye walikuwa ni mafisadi wakutupwa hapa nchini na kwamba mtu yoyote aliewaunga mkono mafisadi hao alitakiwa kwanza apimwe akili, mwaka uliofuata 2015 huyo huyo Mbowe na genge lake akiwa tena na mshika pembe wake Lisu walituambia kuwa mawaziri wakuu hao hawakuwa mafisadi bali ni wenye maono, na kwamba tukiwapigia kura hao kina Lowasa na Sumaye tutakuwa tumeiokoa nchi kutoka ktk mikono ya mafisadi. Pia kumbuka Mbowe na genge lake ndio waliompitisha Lowasa kugombea uraisi kupitia chama chao bila wao wenyewe kwanza kupimwa akili kama walivyosema huko nyuma. Pia nashangaa kuwananga wale wabunge huku mwenyekiti wako akivuta fungu la ruzuku kupitia kigongo yao. Siku nyingine uwe na adabu.. ebo!
 
Chadema ni Chama ambacho kimeaminiwa sana na watu wengi wenye mawazo tofauti na CCM lakini bahati mbaya kimeshindwa kuitumia fursa hiyo vizuri.

Uendeshaji wke nahisi una walakini kidogo hasa katika kuzungumzia mambo ya nchi.Pamekuwa na press conference za Bavicha,Bawacha,Katibu Mkuu,naibu katibu mkuu na wakati wingine zikipishana kwa muda mfupi mno.

Chadema kimeshindwa kuwa na vitengo active kama vya mambo ya uchumi ambapo bajeti za serikali zingepitiwa na kutolewa ufafanuzi wa kina (kama anavyofanya Zitto).

Kwa mabadiliko haya ya uongozi Chadema inahitaji utulivu na kupunguza wazungumzaji.
Chadema sasa hivi imekuwa kichaka. Wauza unga, mateja, wezi, na wale mpunga mpunga wote wanakimbilia huko kupata utetezi. Ndo maana hoja za msingi kwa sasa hawashughuliki nazo.
 
Mbowe atazungumzia habari za akina Halima Mdee na wenzake!
Akitaka acheze na mazingira ya siasa ya sasa asimponde hayati bali azungumzie agenda kuu za uchumi, mabadiliko ya katiba, tume ya uchaguzi na uhuru wa kujieleza kama mwongozo kwa utawala mpya (Roadmap to transformation), mikutano ya kisiasa iruhusiwe, na wenye makosa ya kisisasa kufunguliwa km njia ya kuleta mwafaka.

Aidha aombe kibali cha kuonana na Rais mpya km alivyoomba awamu iliyopita na ili wapinzani kuzungumzia muktadha wa taifa letu.kitu ambacho hakufanikiwa. Mwisho aombe katiba kufuatwa kuhusu wale covid 19.
 
M

Mwenda kwao lazima apigwe kavu kavu
 
Mbowe ajiomdoe uenyekiti wampe mtu huru asie wa kabila lao hapo tutajiuliza kama tunawaunga mkono ama la. Tumdu yeye wamuondoshe kabisa kwenye nyadhifa zote za chama maana ni taahira na hakuna anayemuunga mkono. Waliompigia kura za Urais ni wachaga wafia chama na si watanzania wa sehemu tofauti ma Kilimanjaro. Hao wachache wasiojitambua wenyewe ni CDM hata kukiwa na jiwe wanalipigia.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi cha 2015-2020 ni kipindi ambacho wapinzani wanatakiwa kujilaumu wenyewe kwa kukosa kuwa na uelewa wa wapi nchi inaelekea na wananchi wanataka nini hivyo ikasababisha anguko lao katika uchaguzi uliopita. Upinzani ukawa umepoteza uelekeo na kuaminika kwa watanzania.

Upande walioamua kuuchagua watanzania wa kuchagua wabunge karibu wote wa CCM ni upande sahihi kwa sababu watanzania waliona juhudi za JPM ni za kweli na halisi.

Kurudisha imani hiyo kwa watanzania inahitaji mikakati mikubwa zaidi ya waliyonayo sasa kwa sababu watanzania wataendelea kuuenzi uongozi wa JPM kama kielelezo cha mapambano ya kweli dhidi ya unyonge, kujiamini na kujitambua. Imani hii itadumu kwa muda mrefu mpaka kizazi kilichoshuhudia uongozi wa JPM wakiwa na akili timamu kitakapopotea na kufutika na hapo tunazungumzia si chini ya miaka 60 ijayo.

Magufuli ni ' living legend' ataishi ndani yetu miaka mingi sana.
Takataka hizi
 
Back
Top Bottom