Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Kipindi cha 2015-2020 ni kipindi ambacho wapinzani wanatakiwa kujilaumu wenyewe kwa kukosa kuwa na uelewa wa wapi nchi inaelekea na wananchi wanataka nini hivyo ikasababisha anguko lao katika uchaguzi uliopita. Upinzani ukawa umepoteza uelekeo na kuaminika kwa watanzania.
Upande walioamua kuuchagua watanzania wa kuchagua wabunge karibu wote wa CCM ni upande sahihi kwa sababu watanzania waliona juhudi za JPM ni za kweli na halisi.
Kurudisha imani hiyo kwa watanzania inahitaji mikakati mikubwa zaidi ya waliyonayo sasa kwa sababu watanzania wataendelea kuuenzi uongozi wa JPM kama kielelezo cha mapambano ya kweli dhidi ya unyonge, kujiamini na kujitambua. Imani hii itadumu kwa muda mrefu mpaka kizazi kilichoshuhudia uongozi wa JPM wakiwa na akili timamu kitakapopotea na kufutika na hapo tunazungumzia si chini ya miaka 60 ijayo.
Magufuli ni ' living legend' ataishi ndani yetu miaka mingi sana.
Pole mataga Mwendazake katanguliaMagufuli ni ' living legend' ataishi ndani yetu miaka mingi sana.
Kipindi cha 2015-2020 ni kipindi ambacho wapinzani wanatakiwa kujilaumu wenyewe kwa kukosa kuwa na uelewa wa wapi nchi inaelekea na wananchi wanataka nini hivyo ikasababisha anguko lao katika uchaguzi uliopita. Upinzani ukawa umepoteza uelekeo na kuaminika kwa watanzania.
Upande walioamua kuuchagua watanzania wa kuchagua wabunge karibu wote wa CCM ni upande sahihi kwa sababu watanzania waliona juhudi za JPM ni za kweli na halisi.
Kurudisha imani hiyo kwa watanzania inahitaji mikakati mikubwa zaidi ya waliyonayo sasa kwa sababu watanzania wataendelea kuuenzi uongozi wa JPM kama kielelezo cha mapambano ya kweli dhidi ya unyonge, kujiamini na kujitambua. Imani hii itadumu kwa muda mrefu mpaka kizazi kilichoshuhudia uongozi wa JPM wakiwa na akili timamu kitakapopotea na kufutika na hapo tunazungumzia si chini ya miaka 60 ijayo.
Magufuli ni ' living legend' ataishi ndani yetu miaka mingi sana.
Chadema sasa hivi imekuwa kichaka. Wauza unga, mateja, wezi, na wale mpunga mpunga wote wanakimbilia huko kupata utetezi. Ndo maana hoja za msingi kwa sasa hawashughuliki nazo.Chadema ni Chama ambacho kimeaminiwa sana na watu wengi wenye mawazo tofauti na CCM lakini bahati mbaya kimeshindwa kuitumia fursa hiyo vizuri.
Uendeshaji wke nahisi una walakini kidogo hasa katika kuzungumzia mambo ya nchi.Pamekuwa na press conference za Bavicha,Bawacha,Katibu Mkuu,naibu katibu mkuu na wakati wingine zikipishana kwa muda mfupi mno.
Chadema kimeshindwa kuwa na vitengo active kama vya mambo ya uchumi ambapo bajeti za serikali zingepitiwa na kutolewa ufafanuzi wa kina (kama anavyofanya Zitto).
Kwa mabadiliko haya ya uongozi Chadema inahitaji utulivu na kupunguza wazungumzaji.
Akitaka acheze na mazingira ya siasa ya sasa asimponde hayati bali azungumzie agenda kuu za uchumi, mabadiliko ya katiba, tume ya uchaguzi na uhuru wa kujieleza kama mwongozo kwa utawala mpya (Roadmap to transformation), mikutano ya kisiasa iruhusiwe, na wenye makosa ya kisisasa kufunguliwa km njia ya kuleta mwafaka.Mbowe atazungumzia habari za akina Halima Mdee na wenzake!
Mwenda kwao lazima apigwe kavu kavuAkitaka acheze na mazingira ya siasa ya sasa asimponde hayati bali azungumzie agenda kuu za uchumi, mabadiliko ya katiba, tume ya uchaguzi na uhuru wa kujieleza kama mwongozo kwa utawala mpya (Roadmap to transformation), mikutano ya kisiasa iruhusiwe, na wenye makosa ya kisisasa kufunguliwa km njia ya kuleta mwafaka.
Aidha aombe kibali cha kuonana na Rais mpya km alivyoomba awamu iliyopita na ili wapinzani kuzungumzia muktadha wa taifa letu.kitu ambacho hakufanikiwa. Mwisho aombe katiba kufuatwa kuhusu wale covid 19.
Takataka hiziKipindi cha 2015-2020 ni kipindi ambacho wapinzani wanatakiwa kujilaumu wenyewe kwa kukosa kuwa na uelewa wa wapi nchi inaelekea na wananchi wanataka nini hivyo ikasababisha anguko lao katika uchaguzi uliopita. Upinzani ukawa umepoteza uelekeo na kuaminika kwa watanzania.
Upande walioamua kuuchagua watanzania wa kuchagua wabunge karibu wote wa CCM ni upande sahihi kwa sababu watanzania waliona juhudi za JPM ni za kweli na halisi.
Kurudisha imani hiyo kwa watanzania inahitaji mikakati mikubwa zaidi ya waliyonayo sasa kwa sababu watanzania wataendelea kuuenzi uongozi wa JPM kama kielelezo cha mapambano ya kweli dhidi ya unyonge, kujiamini na kujitambua. Imani hii itadumu kwa muda mrefu mpaka kizazi kilichoshuhudia uongozi wa JPM wakiwa na akili timamu kitakapopotea na kufutika na hapo tunazungumzia si chini ya miaka 60 ijayo.
Magufuli ni ' living legend' ataishi ndani yetu miaka mingi sana.
Atazungumziaje wakati ameshindwa kuitisha kikao kujadili fufaa yao kama anavyotakiwa na katiba?Mbowe atazungumzia habari za akina Halima Mdee na wenzake!