Je Gadner Habash hawezi mfunga Jaydee??

Je Gadner Habash hawezi mfunga Jaydee??

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,957
Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.
 
amfunge halafu yeye apate nini?
 
Mimi ninavyojua hata ushahidi wa kimazingira kisheria unakubalika, jamii yote inajua kaimbiwa yeye.
How sure are u kwamba kaimbiwa yy? Jide n msanij so anaimba lolote analoona litaifaa jamii....maadamu gafner hajatajwa popote bhc hawez fungua kesi maana jide alitupa jiwe gizani.....
 
Kuna watu wameua na historia zimeandikwa/kutunzwa (mauaji ya kimbari) na wanaishi wana watoto wakubwa tu itakuwa hilo la kiachana na kutungiana nyimbo. Mapito tu hayo
 
Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.

alishamgegeda kwa hiyo ata amtukane vipi haijalishi. mwanamke ukishamgegeda hana jipya bwana wewe....
 
Huo wimbo ndio umeupata leo mkuu! Kwa style hii BASATA watazifungia NYAMBIZI ya dully na NAMPENDA YE ya mh Temba
 
Gadner has to learn the history of women from warrior tribes because Jide is among the same.

Jide will live with a man from a warrior tribe, a man who doesn't care women too much,

Gadner looks like a good man and too risky to women from warrior tribes.

A case for defamation will fail for lack of ingredients to prove such tortious act.
 
Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.
Kuna pahala Gadner ametajwa katika huo wimbo?
 
Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.

Defirmation ndo kosa gani ilo?!! 🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐
 
Back
Top Bottom