Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Dkt.Gadner ndio aliyetamba hadharani kuwa anamkojoza Jaydee?Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.
Makubwa.....Natumaini Jaydee hatomfungulia mashtakaNdiyo.
Yeye alivyomwambia amemkojoza je? Hilo sio tusiKila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.