Je Gadner Habash hawezi mfunga Jaydee??

Je Gadner Habash hawezi mfunga Jaydee??

Alishasema "sina neno na yule mtoto wa kike, nimeshamkojoza kwa miaka kama kumi na saba hivi"
 
How sure are u kwamba kaimbiwa yy? Jide n msanij so anaimba lolote analoona litaifaa jamii....maadamu gafner hajatajwa popote bhc hawez fungua kesi maana jide alitupa jiwe gizani.....
Ushahidi wa kimazingira unamtia hatiani.
 
Katika tafsiri ya maudhui ya sanaa kuna kitu tunaita "subjectivity of interpretation" yaani "maudhui ya kazi ya sanaa hayana single universal meaning, maana yake ujumbe hata ukikulenga usipotajwa jina unaweza ukakanwa au ujumbe unaweza ukapindishwa mwimbaji akasema lilikuwa ni fumbo.
 
Huo wimbo ndio umeupata leo mkuu! Kwa style hii BASATA watazifungia NYAMBIZI ya dully na NAMPENDA YE ya mh Temba
Leo nimejikuta nawaza tu.
 
Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.
Huyu Dkt.Gadner ndio aliyetamba hadharani kuwa anamkojoza Jaydee?
 
Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.
Yeye alivyomwambia amemkojoza je? Hilo sio tusi
 
Back
Top Bottom