Je Gadner Habash hawezi mfunga Jaydee??

Je Gadner Habash hawezi mfunga Jaydee??

Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.
Mwanamke nguvu yake ni maneno tu
 
Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.
Kuna mahala kwenye wimbo kamtaja? Pia ujue wasanii wanyoyaimba ni ujumbe kwa yale yanayotokea katika jamii si lazima kiwe kinaamhusu yeye 1/1. Ingekuwa hivyo basi vipi yule aliyeimba "hainaga ushemeji tunakulaga" unafikiri yeye hana mashemeji zake? Ni Sanaa tu na hakuna kesi ya hivyo
 
angeweza kama tu... kungekuwa na jina lake rasmi limetajwa ila hapo dada jide alitumia lugha ya fasihi ambayo huwa ni nzuri sana ukitaka kumtukana mtu..

kama watu wanavyotumia jina la JIWE katika kutoa mapovu yao ili kukwepa mkono wa sheria
 
Km mm ndo G Hab.....nampa vitasa vya kutosha jide badala ya kwenda mahakamani....
 
Mimi ninavyojua hata ushahidi wa kimazingira kisheria unakubalika, jamii yote inajua kaimbiwa yeye.
ushahidi wa kimazingira hauwezi kutumika katika kila kesi....

kwa defamatory case huwezi tumia mazingira..kinachoangaliwa ni jina kamili la mtu ..jina la brand na kadhalika lazma liwe limetajwa na likasikika
 
Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi ya madai kwa defirmation?.
Kamtaja kwa jina? Yasije yakawa yale yale ya HUYO JPM aliyetukanwa aje... Isije ikawa JUMA PONDA MALI
 
Kuna mahala kwenye wimbo kamtaja? Pia ujue wasanii wanyoyaimba ni ujumbe kwa yale yanayotokea katika jamii si lazima kiwe kinaamhusu yeye 1/1. Ingekuwa hivyo basi vipi yule aliyeimba "hainaga ushemeji tunakulaga" unafikiri yeye hana mashemeji zake? Ni Sanaa tu na hakuna kesi ya hivyo
Wewe ukiulizwa ndindindi kaimbiwa nani ukaahidiwa pesa, hutasema ni gardner?
 
Mimi ninavyojua hata ushahidi wa kimazingira kisheria unakubalika, jamii yote inajua kaimbiwa yeye.
unachosema ni sawa ila ushahidi wa kimazingira kwenye kazi ya kifasihi ya Jide ni ngumu kuthibitisha unamlenga yeye.

cha kwanza hajatajwa kwa jina.

cha pili Jide ni msanii kwahyo anaweza kuimba kuhusu matukio yanayofanyika kwenye jamii.

cha tatu ukisema ushahidi wa kimazingira unakulenga wewe basi Jide atakuwa hajasema uongo hivyo sio defamation maana kwenye defamation lazima kuwe na uongo.
 
Back
Top Bottom