Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kali.unachosema ni sawa ila ushahidi wa kimazingira kwenye kazi ya kifasihi ya Jide ni ngumu kuthibitisha unamlenga yeye.
cha kwanza hajatajwa kwa jina.
cha pili Jide ni msanii kwahyo anaweza kuimba kuhusu matukio yanayofanyika kwenye jamii.
cha tatu ukisema ushahidi wa kimazingira unakulenga wewe basi Jide atakuwa hajasema uongo hivyo sio defamation maana kwenye defamation lazima kuwe na uongo.
hapana baada ya kutemana biashara ikafa. yule demu muone vile ana maringo hatari hasa kama wewe sio maarufu pia hana lugha mzuri kwa wateja. ila jamaa yuko poa hata kama hakujui alikuona ana kusho bokea mnaweza piga story mbili tatuAkaua biashara?
Kumbe jamaa alikuwa nguzo pia kwa demu?hapana baada ya kutemana biashara ikafa. yule demu muone vile ana maringo hatari hasa kama wewe sio maarufu pia hana lugha mzuri kwa wateja. ila jamaa yuko poa hata kama hakujui alikuona ana kusho bokea mnaweza piga story mbili tatu
innuendoKwan alimtaja jina kwenye huo wimbo??...atashindwa kesi
sasa wateja wengi na ile promo pale radion walikuwa wanakuja kwa ajili yakeKumbe jamaa alikuwa nguzo pia kwa demu?
Kuachana nako kunaleta madhara fulani, lazima kuna mambo yataathirikasasa wateja wengi na ile promo pale radion walikuwa wanakuja kwa ajili yake
ILIkuwa kwenye sherehe ya harusi ukumbini wimbo ukapigwa huooo jamaa akatoka backbencher sit akaenda mbele akasema........ ..
***SINA TATIZO NA YULE BINTI, NIMEMKOJOZA KWA MIAKA 15 ****
hahhh wacha weeeeeee acha ukumbi wote usimameee hahahahahahahhahahaahh
dat day gardner alitutendea haki wanaume wa dar.