Je Gadner Habash hawezi mfunga Jaydee??

Je Gadner Habash hawezi mfunga Jaydee??

unachosema ni sawa ila ushahidi wa kimazingira kwenye kazi ya kifasihi ya Jide ni ngumu kuthibitisha unamlenga yeye.

cha kwanza hajatajwa kwa jina.

cha pili Jide ni msanii kwahyo anaweza kuimba kuhusu matukio yanayofanyika kwenye jamii.

cha tatu ukisema ushahidi wa kimazingira unakulenga wewe basi Jide atakuwa hajasema uongo hivyo sio defamation maana kwenye defamation lazima kuwe na uongo.
Hii kali.
 
Akaua biashara?
hapana baada ya kutemana biashara ikafa. yule demu muone vile ana maringo hatari hasa kama wewe sio maarufu pia hana lugha mzuri kwa wateja. ila jamaa yuko poa hata kama hakujui alikuona ana kusho bokea mnaweza piga story mbili tatu
 
Kumbe jamaa alikuwa nguzo pia kwa demu?
 
sheria ni ngumu sana, hakuna mahali alipotajwa kwa jina kwenye wimbo wowote wa jide, ila nachokiona sasa sheria itakubana wewe mtoa mada kwa ku accuse na ku suspect watu bila ya kuwa na absolute evidence
 
Binafs naona wala hakuna 7bu yamwamba kupoteza furah zke kwa eti kwajir yahuyo mdada"Nakm nikhs huo wmbo wandindi huo niwimbo tu km zilivyo nyimbo nyingne.Nahuyo mdada lazima tujue kuwa mziki ndio kaz yke"naktk huo wimbo mbn hakumtaja mtu jina..
 
ILIkuwa kwenye sherehe ya harusi ukumbini wimbo ukapigwa huooo jamaa akatoka backbencher sit akaenda mbele akasema........ ..
***SINA TATIZO NA YULE BINTI, NIMEMKOJOZA KWA MIAKA 15 ****

hahhh wacha weeeeeee acha ukumbi wote usimameee hahahahahahahhahahaahh
dat day gardner alitutendea haki wanaume wa dar.
 
Hapana siyo kwenye harusi.... Ilikuwa show ya Chuo cha TIA ilifanyika pale TCC na yeye ndo alikuwa MC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom