Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

African Geek

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
817
Reaction score
1,470

Habari za muda huu waungwana.

Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo ndogo kama ist, vits, nk.

Ningependa kufahamu kama gari hizi zinatambulika na Bolt, Uber, nk. Uimara wake ukoje kwenye kufanya kazi za kusafirisha abiria?.

Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…