Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

Je, Gari hii inafaa kwa kufanyia BOLT, Uber, Faras, Nk?

Itachemka Ujao Huo Ukitoka Ubungo Hadi Masaki Halafu Mfano Urudi Postal
Hizi ni story mkuu. Mimi nimemliki passo miaka 2018 huko, ina cc 990 nilikuwa naipiga misele kweli nabeba mizigo napeleka airport kuna vitu nilikuwa nasafirisha karibu kila sku so misele ilikuwa salasala, posta, then wizara ya maliasili, then posta then airport unakuta nazunguka siku nzima na haikuwahi kuchemka.
Waliotengeneza magari walizingatia vitu vingi.
Kwanini pikipiki ya cc 125 inayopiga bodaboda siku nzima nayo isichemke mkuu?
 
Back
Top Bottom