Je, gari hizi Bongo zipo? Je, watu gani maarufu wanatembelea?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Ferrari, Lamborghini, Bugatti &Rolls Royce.

Nimekuwa nikiyaona kwa wasanii wa majuu na watu maarufu Ulaya, Marekani na Asia. Pia magari haya yameimbwa sana na wasanii wetu hapa nchini.

Swali langu, je kuna hata msanii mmoja wa hapa kwetu anatembelea gari hizo? Na kama yupo je gari hizo ni OG kama za akina Chriss?
 
1.hizo gari hazina fake so ukimuona mtu anayo ni OG.

2.Bugatti na hizo zote ulizotaja zipo huko darisalama huwa naona kwenye picha ila ni za wafanya biashara.

3. mkurugenzi wa clouds anasukuma Bentley, hivo wasanii kama ulivoulizia sidhani kama wanazo
 
Hayo maghari yanaweza kuwa yapo ila kunachangamoto ya utumiaji, mashimo barabarani, matuta kama ya viazi. Last but not least, hamna logic ya kunua gari linaloenda hadi 300kmh na zaidi na wakati muda wote kuna foleni na vibao vya 50 tele.
 
1.hizo gari hazina fake so ukimuona mtu anayo ni OG
2.Bugatti na hizo zote ulizotaja zipo huko darisalama huwa naona kwenye picha ila ni za wafanya biashara
3. mkurugenzi wa clouds anasukuma Bentley , hivo wasanii kama ulivoulizia sidhani kama wanazo
Gari zipi ni fake?
Duniani kuna gari fake na original
 
Hayo maghari yanaweza kuwa yapo ila kunachangamoto ya utumiaji, mashimo barabarani, matuta kama ya viazi. Last but not least, hamna logic ya kunua gari linaloenda hadi 300kmh na zaidi na wakati muda wote kuna foleni na vibao vya 50 tele.
Tanzania nchi ya amani ila inanunua silaha za kivita kila kukicha.

Kuna wakati unatakiwa uwe na silaha unaitumia wakati wowote.

Na zaidi ya yote, wananunua hizo gari kwa status zaidi.

Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
 

Hakuna Bugatti Tanzania man, tungekuwa tushaipiga picha man...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…