Je, gari hizi Bongo zipo? Je, watu gani maarufu wanatembelea?

Je, gari hizi Bongo zipo? Je, watu gani maarufu wanatembelea?

Hizi gari bongo zipo kama hujaziona bahati mbaya tu kwako mkuu ni sijafanikiwa kuona buggati ila hizo zingine nimeziona huku Arusha sema ni adimu sana kuziona ukiiona leo inaweza piga hata mwaka hujaiona tena sijui wenyewe hawaziendeshi
Izo gari zimekua kama sikukuu ya christmas mara moja tu kwa mwaka kuiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
Screenshot_20210130-173415_1612017417620.jpg
Screenshot_20210130-173415_1612017417620.jpg
 
hapana ilikuwa video ina plate number ya tanzania kabisa na haikuwa apo viva tower ilikuwa imepaki pale benjamin mkapa tower kwa nyuma mkuu, lenyewe kabisa nikajisemea duuuh...kama mtu ana ile video anaweza akakuonyesha
Hiyo ya bugatti ni edited mkuu
 
Back
Top Bottom