ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Yusuphu katika ubora wake......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yusuphu katika ubora wake......
Izo gari zimekua kama sikukuu ya christmas mara moja tu kwa mwaka kuiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi gari bongo zipo kama hujaziona bahati mbaya tu kwako mkuu ni sijafanikiwa kuona buggati ila hizo zingine nimeziona huku Arusha sema ni adimu sana kuziona ukiiona leo inaweza piga hata mwaka hujaiona tena sijui wenyewe hawaziendeshi
Hiyo ya bugatti ni edited mkuuhapana ilikuwa video ina plate number ya tanzania kabisa na haikuwa apo viva tower ilikuwa imepaki pale benjamin mkapa tower kwa nyuma mkuu, lenyewe kabisa nikajisemea duuuh...kama mtu ana ile video anaweza akakuonyesha
Hayo magari hata kwa wenzetu likipita lazima wageuze shingo, likipaki lazima wapige selfie. Yako very unique na machache hata kwa wenzetu.
Hiyo ya bugatti ni edited mkuu
Kaka nimeona clip flan juzi kati bugatti ilikuwa maeneo ya tabata coz background nliona daladala ya tbt na bajaj zikipita. Naitafuta clip
Kiduku lilo. Jamaa ana pesa chafu kinyama. Ana magari ya maana huyu jamaa. Anasema hatumii mjapanRR & Lamborghini haya mawili hadi member mmoja JF analo, anasema yeye sio tajiri ila baba ake ndo tajiri
Hazifiki Moro kutokea Dar bila kupitia kwa fundi hapo katikati, teh teh teh teh......Toyota fake zikoje mkuu?
Hii tabia hata ulaya ipo tena bugatti ndio kabisa
Editing iyo nenda insta kuna jamaa anajiita home design ukashangae shangae kidogo utundu wake.....tabata ipi duuh hatari sana... uliona mstari wa blue bahari ? aisee tabata ipi ?
Iko Suez Canal inavukia Indian Ocean itafika tu sio mudaNilimsikia Diamond mwaka alisema amenunua Rolles Royce sijui imeishia wapi..
Tabata Buggati.. hata mi nakataatabata ipi duuh hatari sana... uliona mstari wa blue bahari ? aisee tabata ipi ?
Dume zima linamsema mwanaume mwenzie..dah..Nimemaanisha mtu anayependa sifa na uwongo mwingi angeenda hata kukodi ilimladi watu wamuone anasukuma RR
Hata hiyo haipo ni edited kuna mtu huwa anaedit hizo videosijasema bugatti nimesema aventador ...rejea nlichosema juu
Ushahidi huu hapasijasema bugatti nimesema aventador ...rejea nlichosema juu
Usidanganye umma [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]sijasema bugatti nimesema aventador ...rejea nlichosema juu