Je, gari hizi Bongo zipo? Je, watu gani maarufu wanatembelea?

Duh kumbe kuna gari fake? Hebu tutajie mfano hata moja mkuu ili tusije kupigwa

mkuu, mimi nimesema hakuna gari fake wakati namkosoa huyo jamaa hapo juu aliyedai kuna gari fake
 
Hizi gari bongo zipo kama hujaziona bahati mbaya tu kwako mkuu ni sijafanikiwa kuona buggati ila hizo zingine nimeziona huku Arusha sema ni adimu sana kuziona ukiiona leo inaweza piga hata mwaka hujaiona tena sijui wenyewe hawaziendeshi
 
Bugatti ipo dar[emoji44][emoji44][emoji44]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…