Je, gari yako inatembea Kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta?

Mi langu lita 3 kilometa 1 tuu tena kuna sehemu naweka freeView attachment 1343359
Imagine upo gear ya 16 halafu ndio imetokea emergency mbele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ no wonder hizi gari zilikuwa zinaua sana.

Sahizi mzungu ameleta za auto-shift yani scania unaendesha kama IST tu!
 
Sijasema haiwezekani bali nimesema haiko recommended, na ukikutana na waliotengeneza hayo magari watakuona ww sio dereva mzuri hata kama unajiona ni dereva. Wewe unakuwa ni muongoza gari na sio dereva
Scania opticruise katika ufanyaji wake wa automatic inaweza kutoka namba 1 ikaenda hata namba 5 na inaweza kufanya down shift ikatoka namba 12 Hadi namba 8 , na hii inafanywana software iliyoandikwa na scania wenyewe .
 
Verty.....!!! acha uchokodhi waakoo baanaaah....

Utanafanya wanisakanye nikiwa barabarani, ila umejuajeee...!!! 😳
Thamu Good analytical skilldh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,, akikuzingua mtu jus poke me ntamaliza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…