Je, gari yako inatetemeka, engine kumisi au ukiwasha inazima inapokuwa ya baridi?

Tairi ya gari kupiga kelele km mluzi fulani unapotembea all time baada ya kubadili brake shoe na bearing tatizo litakuwa nini na kuli solve
 
Aiseee hapo sijajua mkuu.. . Ngoja wataalamu wapite watakuwa na majibu...
 
Apo cha msingi kama unapata ECU nyengine unaweka na kutest kuona, mana pia isijekuwa hio gari iliwahi kuchezewa wiring ikawa OBD2 port haifanyi kazi.

By the way, leo wakati nafanya Jumping, nimeshuhudia na ku confirm kuwa ECU kama ina immobilizer itakuja code 99 tu, kwenye ile project yangu hii code haikuwahi kutokea, nna machungu mafundi wiring wameniharibia control!

Hii gari haina port ya OBD 2 ipo ya OBD 1 tu...

Halafu kuna sehemu nimeona umesema kwamba unaweza kujump kwenye port ya OBD 2 na ukapata code, Hii inawezekanaje?
 
Hio yenye OBD1 under the dashboard ama passenger side unaweza ukakuta port ya kuscan using code reader.

Kwenye OBD2 port ku jump ni pin namba 4 na pin namba 13 kwa toyota/lexus, lakini kwa vile ipo standardized throughout all vehicles, hata brands nyengine itakuwa sawa. Ukijump unaweza kuona taa nyengine kama zote ivi zinablink blink ziikushtue, wewe anza kuhesabu check engine light inavo blink tu.
 
Hizo pini unahesabu kuanzia juu kushoto kwenda kulia?
 
Attachments

  • R891J.jpg
    R891J.jpg
    40.1 KB · Views: 15
Habari, baada ya kuona gari ina dalili ya kuwa na missfire na mshale wa rpm sometimes kubehave violent na kutowiana na ukanyagaji wa accelerator. Nikaamua kwenda kufanya diagnostic, matokeo niliyoyapata ni haya. Je, shida hapa yaweza kuwa nini. Nifanye nini ili hili tatizo litoke na hiyo miss ipotee.?

Adjustments.jpg

View attachment 1545511
View attachment 1545512

Aiseee mbona kama hizo code ulizopata hazihusiani na tatizo unalosema?

Labda ujaribu kusolve hilo la o2 sensor kwanza tuone. Hiyo sensor yenye hiyo code huwa ipo baada ya catalytic converter, Lakini inainekana kama engine yako ni V-type. Hivyo ina catalytic conveter mbili na sensor kama hizo mbili. Sasa zijui kama utaweza kujua kwamba ni sensor gani ndio ina shida. Pia kagua kama kuna mahali kuna leak kabla ya catalytic conveter na kwenye intake manfold inaweza kupelekea hilo tatizo.
 
Yah, ni V6, mark X, 250G., GRX engine code.
 
Leak ya oil ama hewa.? How about plug.? Nyiongeza, gari ilikuwa parked bila kuwashwa kwa kama siku 5 hivi. Siku nimekuja kuiwasha, single switch haikutosha kuiwasha.

Ilibidi nirudie tena kupiga funguo ndo ikawaka, baada ya kuwaka ikawa inataka goma kupokea na kutetemeka/miss kama vile gari inayoishia mafuta. Niliisuport na kupiga race, ikakaa poa. Now ukiwasha inapokea vizuri tuu ukiwasha.

Though najua bado kuna shida na ipo siku itaniadhiri nisipopatarajia. [emoji23]
 
Yah, ni V6, mark X, 250G., GRX engine code.

Hapo solve kwanza ishu ya Oxygen sensor. Kama tatizo lako halitaisha basi kuna sehemu ina shida na shida hiyo haijafikia hatua ya kuweka codes kwenye control box ndio maana mnapima na mashine hamuioni.

Hapa ndio umuhimu wa Live Data stream unapokuja...
 
Leak ya oil ama hewa.?

How about plug.?

Nyiongeza, gari ilikuwa parked bila kuwashwa kwa kama siku 5 hivi. Siku nimekuja kuiwasha, single switch haikutosha kuiwasha. Ilibidi nirudie tena kupiga funguo ndo ikawaka, baada ya kuwaka ikawa inataka goma kupokea na kutetemeka/miss kama vile gari inayoishia mafuta. Niliisuport na kupiga race, baada ya muda ikakaa poa. Now ukiwasha inapokea vizuri tuu ukiwasha ingawaje violent RPM bado ipo mara chachechache

Though najua bado kuna shida na ipo siku itaniadhiri mahali nisipopatarajia.
 
Leak ya oil ama hewa.? How about plug.? Nyiongeza, gari ilikuwa parked bila kuwashwa kwa kama siku 5 hivi. Siku nimekuja kuiwasha, single switch haikutosha kuiwasha. Ilibidi nirudie tena kupiga funguo ndo ikawaka, baada ya kuwaka ikawa inataka goma kupokea na kutetemeka/miss kama vile gari inayoishia mafuta. Niliisuport na kupiga race, ikakaa poa. Now ukiwasha inapokea vizuri tuu ukiwasha.

Though najua bado kuna shida na ipo siku itaniadhiri nisipopatarajia. [emoji23]
Leak ya hewa...

Hiyo case ya kusumbua kuwaka baada ya siku tano bila kuwashwa inawezekana ni betri tu ilipungua kdg ndo maana ikafanya hivyo...

Kwa hiyo hayo matatizo ambayo inayo sasa hivi yalianza baada ya kuiacha siku 5 bila kuiwasha?
 
Leak ya oil ama hewa.?

How about plug.?

Nyiongeza, gari ilikuwa parked bila kuwashwa kwa kama siku 5 hivi. Siku nimekuja kuiwasha, single switch haikutosha kuiwasha. Ilibidi nirudie tena kupiga funguo ndo ikawaka, baada ya kuwaka ikawa inataka goma kupokea na kutetemeka/miss kama vile gari inayoishia mafuta. Niliisuport na kupiga race, baada ya muda ikakaa poa. Now ukiwasha inapokea vizuri tuu ukiwasha ingawaje violent RPM bado ipo mara chachechache

Though najua bado kuna shida na ipo siku itaniadhiri mahali nisipopatarajia.

Usije kuwa uliweka mafuta mabaya...

Hiyo violent R.P.M ni ikiwa silent au hata ukiwa unaendesha?
 
Leak ya hewa...

Hiyo case ya kusumbua kuwaka baada ya siku tano bila kuwashwa inawezekana ni betri tu ilipungua kdg ndo maana ikafanya hivyo...

Kwa hiyo hayo matatizo ambayo inayo sasa hivi yalianza baada ya kuiacha siku 5 bila kuiwasha?

Hapana, hilo la violent RPM ni muda at firrst ilifanya hivyo na kupelekea kuwaka check engine. Niliipeleka katika diagnostic, ikasoma msg fuel rail sensor fail (sikumbuki vyema exact words zilizodisplay katika scanner) ila baada ya hapo nilibadili pump ya kwenye tank na gari ilirudi normal violent RPM ikapndoka kabisa, until kuja kutokea hili tena.

Toka nibadili pump imepita miezi 6 sasa. Na ndipo violent RPM imetokea tena, this time si violent sana kama mwanzo, baada ya kuona violent RPM nikahisi labda pump imekufa ama tatizo limejirudia, nikapeleka tena katika diagnostic machine, safari hii imetoa hizi errors mbili kama nilivyoattach.

This time nimenotice kitu kingine kuwa gari inachelewa kupokea/kujibadili gear pindi unapokuwa unaiendesha. Plus ukiwa katika parkin, P ukataka ondoka na kuweka gear leaver katika D, kuna kamshindo fulani hivi kanatokea.
 
Back
Top Bottom