Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usije kuwa uliweka mafuta mabaya...
Hiyo violent R.P.M ni ikiwa silent au hata ukiwa unaendesha?
Hapana, hilo la violent RPM ni muda at firrst ilifanya hivyo na kupelekea kuwaka check engine. Niliipeleka katika diagnostic, ikasoma msg fuel rail sensor fail (sikumbuki vyema exact words zilizodisplay katika scanner) ila baada ya hapo nilibadili pump ya kwenye tank na gari ilirudi normal violent RPM ikapndoka kabisa, until kuja kutokea hili tena....
Kumbe gari lina mavitu mengi hivi siyajui!
Violent nikiwa naendesha, uendeshaji wangu nikiwa chini ya 100km/h huwa naendesha gari chini ya 2000 RPM na huwa najitahidi niendeshee hapo kwa maana huwa naacha RPM na engine ipokee taratibu bila kuiforce kufanya kazi.
Lakini kwa sasa naweza kuwa speed ya 50km/h ama 60 but RPM unakuta ipo 2500 huko ilhali nakuwa sijakanyaga sana mafuta na baada ya muda inarudi katika normal baada ya gia kujibadilisha. Plus ikiwa katika motion, unaweza shangaa RPM imetoka ghafla 2000 mpaka 2500 na kurudi 1800 then inarudi 2000.
Same to me kwenye Carina,kwangu mimi ilifika wakati ili gari liwake ni lazima nitumie combination ya ignition switch na accelerator kwa wakati mmoja,na gari likiwa idle ni lazima nijitahd kuhakikisha RPM haishuki 1by pressing accelerator pedal sababu usipo balance pedal RPM inashuka 0 na gari huzima.Hiyo Hali ya gari kuzima yenyewe kipindi cha asubuh ilikuwa inanitokea mara nyingi Sana Ila nakumbuka niliongeza silencer kidogo kwasabb ilikuwa chini.
Mpaka nauza hii gari(Carina TI ) bado silencer yake IPO juu pale Kwenye moja( rpm 1) na kama utashusha silencer basi gari huwa inazima daily.....
Pengine Leo unaweza kunisaidia/kutusaidia Hilo TATIZO lilisababishwa na nini?
Umekagua fuel pressure regulator na transmission fluid ya gari lako..?Violent nikiwa naendesha, uendeshaji wangu nikiwa chini ya 100km/h huwa naendesha gari chini ya 2000 RPM na huwa najitahidi niendeshee hapo kwa maana huwa naacha RPM na engine ipokee taratibu bila kuiforce kufanya kazi.
Lakini kwa sasa naweza kuwa speed ya 50km/h ama 60 but RPM unakuta ipo 2500 huko ilhali nakuwa sijakanyaga sana mafuta na baada ya muda inarudi katika normal baada ya gia kujibadilisha. Plus ikiwa katika motion, unaweza shangaa RPM imetoka ghafla 2000 mpaka 2500 na kurudi 1800 then inarudi 2000.
Same to me kwenye Carina,kwangu mimi ilifika wakati ili gari liwake ni lazima nitumie combination ya ignition switch na accelerator kwa wakati mmoja,na gari likiwa idle ni lazima nijitahd kuhakikisha RPM haishuki 1by pressing accelerator pedal sababu usipo balance pedal RPM inashuka 0 na gari huzima.Nilijaribu kupandisha silence still haikusaidia,then kuna Fundi akanisaidia kuondoa hiyo changamoto just by applying greaser kwenye ki valve ambacho kipo sehemu ya intake ya hewa ambacho kutokana na umri wa gari kilikwama.
Umekagua fuel pressure regulator na transmission fluid ya gari lako..?
Thanks brotherIACV hiyo ndio ilikuwa inapelekea hiyo shida...
Ikikwama huku imefungua sana sailensa inakuwa juu na ukishusha haishuki.
Ikikwama huku imefungua kidogo basi ndo itakuwa inazima kila ukiwasha...
Kuna gari ina blink OD light na ikifanya hivyo gari huwa ina sleep mno na kukosa nguvu. Nimeifanyia diagnosis several times hakuna cha maana.
Control box imebadilishwa na zile Speed sensor ila bado ishu iko palepale.
Ushauri tafadhali..!
yes, unaanza kuhesabu flashes kama obd1 tuMkuu shukrani sana. Kwa hiyo ukishaunga hivyo hatua zilizobaki ni kama kwenye OBD1 tu, si ndiyo?
hio Miss yako inasababishwa na hio Oxygen sensor. Hio ni sensor inayokaa kwenye Cat converter. Nimeona umesema una Mark X which is V6, kama unaweza kupata chart ya kujua firing order ya hio engine, upande wenye cylinder no. 1 ni Bank 1 na upande mwengine ndio Bank 2Habari, baada ya kuona gari ina dalili ya kuwa na missfire na mshale wa rpm sometimes kubehave violent na kutowiana na ukanyagaji wa accelerator. Nikaamua kwenda kufanya diagnostic, matokeo niliyoyapata ni haya. Je, shida hapa yaweza kuwa nini. Nifanye nini ili hili tatizo litoke na hiyo miss ipotee.?
View attachment 1545511
View attachment 1545512
Mara hii jaribu kubadilisha hichi uone.fuel rail sensor
Angalia,isije kuwa watu wamekula madini ya kwenye exhaust humo. Mafundi wa mjini na wajinga wachache wana tabia hiyo sana.Leak ya oil ama hewa.? How about plug.? Nyiongeza, gari ilikuwa parked bila kuwashwa kwa kama siku 5 hivi. Siku nimekuja kuiwasha, single switch haikutosha kuiwasha...
Inawezekana gearbox oil imekwisha nguvu yake. Waone mafundi waikague.Hapana, hilo la violent RPM ni muda at firrst ilifanya hivyo na kupelekea kuwaka check engine. Niliipeleka katika diagnostic, ikasoma msg fuel rail sensor fail (sikumbuki vyema exact words zilizodisplay katika scanner) ila baada ya hapo nilibadili pump ya kwenye tank na gari ilirudi normal violent RPM ikapndoka kabisa, until kuja kutokea hili tena...