Je, gari yenye engine capacity chini ya cc 1000 inafaa kwa safari ndefu?

Mkuu uwa unajisikiaje ukipack mombo kula pembeni mwezio kapack kluger, jiran yako kapack harrier new model , alafu wote mnakwenda Moshi hua unajisikiaje hapo Mkuu? Hivi high way si unakua mnyonge sana kila gari inakupita?!
 
Tanzania hakuna barabara ya kumfanya mtu ajisikie mnyonge huyo mwenye Kruger akiwa muoga wa ist anafika mapema sana maana njia zetu ukiwa muoga sometimes unaweza tembea hata 1km ukisubiri kulipita lori
 
Mkuu uwa unajisikiaje ukipack mombo kula pembeni mwezio kapack kluger, jiran yako kapack harrier new model , alafu wote mnakwenda Moshi hua unajisikiaje hapo Mkuu? Hivi high way si unakua mnyonge sana kila gari inakupita?!
[emoji3][emoji3] ngoja nimjibie, unashona koti kulingana na mwili wako.

So ye uwezo wake IST wala haimsumbui.
 
Kufika unafika lakini njiani usijaribu kujipima ubavu na kina kluger, crown, subaru, prado n.k. Ukiwaona kwenye rear view mirror au side mirror waache wapite kwa amani na safari yako itakuwa poa.
Unajua kila kitu pia ni sanaa ndani yake. Tuliwahi kusafiri magari mengi baada ya mwaka mpya, njian magari yalikuwa mengi sana. Vx v8, prado, kluger, premio, suzuki escudo n.k. cha ajabu toka tunatoka dom aliyekuwa anaongoza kwa mbio alikiwa ni escudo, sisi wa kluger tulikuwa wa pili, vx alikuwa nyuma yetu.

Hapo speed tupo 170, sasa nilitarajia mwenye vx aongoze lakini hakuweza mziki. Kwa kuwa hana sanaaa ya udereva na ujasiri.

So kuwahi kufika hatugemei gari pekee yake bali na ujasiri pia
 
Kama pikipiki tu SANLG au TOYO ya 125CC ya Mchina inaweza kutembea kutoka Dar hadi Musoma/Bukoba unashangaa na kuwa na wasiwasi wa nini kwa gari kubwa la 1000 au 1400CC....?

Gari yoyote bila kujali ukubwa wa injini (CC) inaweza kutembea na kufika popote so long as unazingatia matunzo yake....

Kupumzika au kuweka kituo kila baada ya kuwa umetembea distance fulani, naturally hilo haliepukiki kwa sababu mbalimbali kama vile kupumzika, kujaza mafuta, kula chakula, kuchimba dawa, kufanya utalii nk nk...

Sijui unakuwa unawahi nini kwa safari ndefu kama hiyo kuwa unakimbia tu kwenda mbele kama vile wewe ni Lewis Hamilton wa kwenye mashindano ya magari ya Langa Langa (Formula 1) bila ku - break mara kwa mara...

Hata kama unawahi msiba, nyie mlio hai enjoy yourself when driving, waliokwisha kufa wameshakufa, hatuwezi kuwarudishia uhai wao hata tulie ama tukimbie njiani kwa spidi ya 250km/hr....

Please, Usiwapeleke uliowabeba ndani ya gari yako mputa mputa bila sababu yoyote bhana. Wafanye wasahau kuwa wanaenda msibani....

Ukizingatia hili, basi gari yoyote na yenye ukubwa wowote wa Injini hata kama ni 250CC, ita - suit demand ya safari yako ndefu vyema kabisa ili mradi tu gari yako hiyo liko kwenye specified performance standard yake....
 
Hebu nisaidie, wanasema gari ikiwa speed kubwa inakunywa mafuta mengi, ushauri ni maximum speed kiasi gani gari inakua standard hainywi mafuta mengi?
 
Sawa sawa mkuu. Mie mara nyingi hupendelea kusafiri usiku. Naondoka dar saa moja jion. So sijawahi kusafiri na gari yenye cc ndogo.
Ila this time nilitaka nisafiri na gari ndogo. Sasa hofu yangu ndio hiyo. Usiku sehem nyingi zinefungwa, so huwa idadi ya vituo inakuwa ni ndogo.
 
Hebu nisaidie, wanasema gari ikiwa speed kubwa inakunywa mafuta mengi, ushauri ni maximum speed kiasi gani gari inakua standard hainywi mafuta mengi?
Mie sijui sana. Ila nachofahamu ule mshale wa rpm usizidi 3 unapokanyaga mafuta. Mara nyingi unaanza kukanyaga mafuta kidogokidogo utaona gari speed inaongezeka ile ule mshale wa rpm unakupanda kidogo sana. Hapo mafuta unakuwa unatumia vizuri.

Mengine mim sijui
 
Nashukuru kwa hii point pia
 
Tatizo ni mentality. Wamatumbi wengi wanapenda vitu cheap cheap sana.

Bora ukae miaka 4 huna gari...ila siku ukimiliki unamiliki gari ya kueleweka

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3] ngoja nimjibie, unashona koti kulingana na mwili wako.

So ye uwezo wake IST wala haimsumbui.
Mkuu Watanzania wengi tunamaisha bora, mtandaoni, nje ya mtandao, tunalia njaa.
Ukielewa hilo husumbuki, wala hautaishi maisha ya mwenzo, kwa jibu lako wewe ni mmoja ya watu, ya wasiopenda maisha ya kujishindanisha hingera sana.
 
Tatizo ni mentality. Wamatumbi wengi wanapenda vitu cheap cheap sana.

Bora ukae miaka 4 huna gari...ila siku ukimiliki unamiliki gari ya kueleweka

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mmmh miaka minne kwa mshahara wa laki tano, mbn michache sana?? [emoji3] watu wanamiaka 15 kazini lakini hawana magari. Ooh usichulie poa haya maisha ooh
 
Ibafaa sana tu mi huwa napiga dar mwanza dar
 
Talking drom experience. Natumia passo mkuu.tembea 100 km no more utafika na hiyo gari hata mbinguni bila kusimama. Mm huwa nawasha ubungo nakuja kuizima mwanza , hata kula huwa sili huwa napitia korosha chalinze
 
Itabidi siku moja tupange safari kwenda mwanza na hivi vibebiwoka vyetu

Na vp kuhusu kuchemsha kwa engine, vp kuhusu engine kuchoka ndani ya muda mfupi?? [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…