Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
SUV ndogo ni kama zipi mkuu?Mkuu kuna watu wananunua IST new model kwa more than 20M. Hizi babywalker zina raha yake, hasa hapa town, halafu utumiaji wa mafuta ndio factor kubwa sana, kwa mishe za dar ukiweka mafuta ya 50k unatumia wiki nzima, kwa hiz gari ndogo.
Hata kama unauweza kuwa na SUV hizi ndogo nazo sio za kuzikosa. Sina msaada sana.
Haijawahi kuchemka na huwa speed yangu ni 100 hadi 130 sehem tambarare. Na hii ni passo ya 2 kumiliki. Moja nlinunua kuukuu kwa mtu ikiwa na 160k km ingene nikanunu mpya 40k km ndo ninayo km miezi 6 hivi sasa ndo ina 60kkm napiga nayo misele ya kufa mtu tena full ac haijawahi kuzinguaItabidi siku moja tupange safari kwenda mwanza na hivi vibebiwoka vyetu
Na vp kuhusu kuchemsha kwa engine, vp kuhusu engine kuchoka ndani ya muda mfupi?? [emoji28]
Wanaosema engine inachoka huwa siwaelewi. Mara ya mwisho nimetoka dar saa 10 jiona na saa 2 asubuhi nlikuwa mwanzaItabidi siku moja tupange safari kwenda mwanza na hivi vibebiwoka vyetu
Na vp kuhusu kuchemsha kwa engine, vp kuhusu engine kuchoka ndani ya muda mfupi?? [emoji28]
Mimi sina gari mkuu, ila maisha mitandaoni, kwa vile hatuonani, kila mtu anajiona yuko zaidi, kumbe wengi hata pa kulala tunavizia, ila tunamiliki Simu ya kupondea vitu vya watu tu.
Kama haichemshi itafika kwokwote, vituo ni kuweka mafuta.Maana sijawahi kwenda masafa marefu na gari chini ya cc 1490.
Ila kuna jamaa yangu ameenda hadi bukoba kwa vitz ile ya cc990, hapo breki ya kwanza, dom, kisha misigiri, then nzega, halafu kahama, chato then katoboa bukoba.
Sasa naona vituo ni vingi sana, na mie napenda nikianza safari iwe moja kwa moja.
[emoji38] mkuu wewe ni mkweli sana. Na utafika mbali[emoji1548]Mimi sina gari mkuu, ila maisha mitandaoni, kwa vile hatuonani, kila mtu anajiona yuko zaidi, kumbe wengi hata pa kulala tunavizia, ila tunamiliki Simu ya kupondea vitu vya watu tu.
Kumiliki gari ndogo siyo kosa gari ndogo inachoka haraka Sana kwa sabb iko chini Sana nying ndani ya miaka 2,3 ishapondeka mbele haitamaniki hata mnunuzi anakupunja na pia injin yake ni ndogo hivyo huchoka haraka SUV yenye cc Zaid ya 1990 ni gari imara na hairabiki haraka na hudumu muda mrefu mpaka miaka 10 na kuendelea unayo tofauti na gari ndogo.Mimi sina gari mkuu, ila maisha mitandaoni, kwa vile hatuonani, kila mtu anajiona yuko zaidi, kumbe wengi hata pa kulala tunavizia, ila tunamiliki Simu ya kupondea vitu vya watu tu.
Mimi nina Subaru Forester nilitumia mil.14 mpaka kukabidhiwa mkononi toka Japan huu mwaka 4 haijasumbua chochote lengo langu ni kukaa nayo miaka 8_10 sema familia imeongezeka nataka niiuze ninunue gr kubwa Mana in seat 5 , nilitaka kuagiz gr toka Korea ikashindikana .Kumiliki gari ndogo siyo kosa gari ndogo inachoka haraka Sana kwa sabb iko chini Sana nying ndani ya miaka 2,3 ishapondeka mbele haitamaniki hata mnunuzi anakupunja na pia injin yake ni ndogo hivyo huchoka haraka SUV yenye cc Zaid ya 1990 ni gari imara na hairabiki haraka na hudumu muda mrefu mpaka miaka 10 na kuendelea unayo tofauti na gari ndogo.
Harrier new model ni ipi?Mkuu uwa unajisikiaje ukipack mombo kula pembeni mwezio kapack kluger, jiran yako kapack harrier new model , alafu wote mnakwenda Moshi hua unajisikiaje hapo Mkuu? Hivi high way si unakua mnyonge sana kila gari inakupita?!
Cheza na rpm.Hebu nisaidie, wanasema gari ikiwa speed kubwa inakunywa mafuta mengi, ushauri ni maximum speed kiasi gani gari inakua standard hainywi mafuta mengi?
Na TRA hii ya kudouble ushuru kila mwaka unajichanga miaka mi4 unafikisha mil 25 wanaongeza mil10 kwenye kodi utazeeka mkuu.Tatizo ni mentality. Wamatumbi wengi wanapenda vitu cheap cheap sana.
Bora ukae miaka 4 huna gari...ila siku ukimiliki unamiliki gari ya kueleweka
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Muulize anazungumzia Gari gani kwanza unaweza kuta anataka kubania mafuta kwenye Brevis 3000cc.... π π πCheza na rpm.
Kama unataka kubana sana mafuta, rpm isizidi 2000.
Acha gari ichanganye yenyewe.
Leo nimepita place nikakuta mwamba kapaki TOYOTA C-RH . Aisee kuna gari zinavutia. [emoji53][emoji53][emoji3] hapo kweli ushuru wa ma SUV ni noma, ndio maana watu tunajificha kwenye hivi vitoto vya gari[emoji1787]
Townace gari be gani?itakua unaongelea Malori labda la hamna gari ndogo zinakimbizwa kama IT yani unaeza ukapanda kitownace kinakimbizwa kama subaru. Mikumi mule wanafuta bumps kama hawana akili nzuri ndo maana wanatembeaga usiku.
Nimeona moja ya kama orange kigamboniLeo nimepita place nikakuta mwamba kapaki TOYOTA C-RH . Aisee kuna gari zinavutia. [emoji53][emoji53]
Mimi nimeona ya silver ,mbezi beach kwa zenakaribu na ilipokua Golden J.Nimeona moja ya kama orange kigamboni
Mpya zipo mil 14 ~ 19.Townace gari be gani?