Je, gari yenye engine capacity chini ya cc 1000 inafaa kwa safari ndefu?

Je, gari yenye engine capacity chini ya cc 1000 inafaa kwa safari ndefu?

Wakuu kwema?

Hivi gari ya cc 990 na cc 1290, zinatofauti gani kwenye suala la kupiga masafa marefu?

Maana wengine wanasema kama gari engine capacity yake ni ndogo huwez kwenda nalo masafa marefu km dar to kagera bila kuweka vituo vingi katikati.

Je, hili lina ukweli?
Safari ndefu unamaanisha kutoka tz hadi south africa au mbagala to bunju au dar to moro au ubingo to mwenge?
 
Gari yenye cc chini ya 1000???
Hiyo ni pikipiki sasa....
 
Maana sijawahi kwenda masafa marefu na gari chini ya cc 1490.

Ila kuna jamaa yangu ameenda hadi bukoba kwa vitz ile ya cc990, hapo breki ya kwanza, dom, kisha misigiri, then nzega, halafu kahama, chato then katoboa bukoba.

Sasa naona vituo ni vingi sana, na mie napenda nikianza safari iwe moja kwa moja.
Huwezi kusafiri safari ya Dar Bukoba moja kwa moja. Lazima usimame sehemu ujisaidie, ule chakula, uongeze wese na kujinyoosha pia. Inayoenda moja kwa moja ni ndege tu. Kwa ufupi Vits ya cc 990 inaweza toka South Africa mpaka Dar kama gari nyingine tatizo ni nguvu tu ya engine utakuwa unapigwa overtake mpaka na wakimbia Marathon
 
[emoji1787][emoji1787] hadi wakimbia marathoni??
 
Wakuu kwema?

Hivi gari ya cc 990 na cc 1290, zinatofauti gani kwenye suala la kupiga masafa marefu?

Maana wengine wanasema kama gari engine capacity yake ni ndogo huwez kwenda nalo masafa marefu km dar to kagera bila kuweka vituo vingi katikati.

Je, hili lina ukweli?
Sio kweli tembeza chuma hata kwenda ahera angalia tu taa ya joto isipo waka gari ipo salama. Zingatia service
 
Hata kuitembeza kila siku inaweza kikubwa ni service kikiharibika kitu unafanya service fasta
 
Mi naona ni heri kudunduliza miaka 4 upate hela ya kununua gari ya maana SUV kuliko mtu anapata let say 10_12 mil.anakimbilia gari ndogo Tena la cc chini ya 1400 Kama ist ,passo ,vits, Bora hata Toyota succeed kuliko vits au ist. Kuna SUV Kama Subaru Forester,Nissan extrial ukiwa na 14 mil.unapata gari toka japan, mpaka unakabidhiwa mkononi kwa hyo 13_14 mil.
Toyota succeed/probox ina tofauti gani na IST kwa upande wa injini?
 
Kufika unafika lakini njiani usijaribu kujipima ubavu na kina kluger, crown, subaru, prado n.k. Ukiwaona kwenye rear view mirror au side mirror waache wapite kwa amani na safari yako itakuwa poa.
Prado gani mkuu maana zipo za aina nyingi,mfano yenye injini ya 5L inapitwa hata na passo muungurumo mkubwa mwendo mdogo kwa hiyo jaribu kutoa specs ya gari husika.
 
Prado gani mkuu maana zipo za aina nyingi,mfano yenye injini ya 5L inapitwa hata na passo muungurumo mkubwa mwendo mdogo kwa hiyo jaribu kutoa specs ya gari husika.
Zile j150, zinakuwaga na kamluzi amazing ka turbo
 
Vip subaru engine yake iko vip kama unaisafiria Sana mkoan kwa mwezi unatembea klm 800 apo ikoje
#subaru impreza
 
Back
Top Bottom