Je, GSM imeamua kuipora Yanga mikononi mwa Wanachama?

Mashabiki Wa Simba Sc ile Miaka Yenu 5 Mliowahi kuishi Kwa Tabu Na Kutapatapa Inakuja Tena, Mkae Kwa Kutulia [emoji41]
 
Wewe mpuuzi kasome katiba ya yanga kwanza ndo ulete uharo wako hapa vinginevyo unajivua nguo wewe mwenyewe, usifikiri kwa kutumia tumbo yanayoendelea kuwakuta nyie makolo ni zao la kutokuwa na katiba inayoeleweka na mkapata mwekezaji janja janja, kasome katiba ya yanga kwanza ndo uje tujibizane kwa hoja na sio viroja
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Endelea kupanua magoli , sisi hatutaki muanze kulialia huko mbele , ndio maana tunawasaidia .

Hivi kwa mfano Yanga ikaingia kwenye Mgogoro na GSM unadhani Hersi atakuwa upande gani ?

Simba SC imeshawahi kuingia kwenye Mgogoro na Mo Dewji?

[emoji23][emoji23][emoji23]

Je ikiingia CEO ambaye ni mtendaji mkuu wa shughuli za Mo Dewji ndani ya klabu atakuwa upande gani?

Nyani haoni........?
 
Mbumbumbu hawawezi kuelewa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…